jamani naombeni ushauri wenu hii engine ipo kwenye gari ya toyota progress ya mwaka 1998 please naombeni ushauri wenu nisije ingia kichwa kichwa, hii gari imetembea 45000 kilometers ipo bado japan
Naomba kuuliza mwenya uzoefu wa Toyota Wish toleo 2005 adi 2008 Nimetokea kuipenda saana hii Gari
Nataka kujua matatizo yake pia na ulaji wa mafuta
Je inatulia barabarani vizuri.engine...
Wanajamvi, napenda kujua kama vyombo vya moto vinavyomilikiwa na serikali, iwe vya nchi kavu au majini kama hukatiwa/vina bima ya ajali/moto au aina nyingine ya bima.
Pia gari za jeshi.
Habari zenu watu,
Naomba ushauri wenu,ninatafuta tairi 195/65R15 na mpaka sasa nimepata blacklion,sunfull na boto kwa budget yangu. Blacklion na boto n 100 000 na 105 000 respectively sunfull...
Naomben msaada.
Juu ya utambuzi wa kugundua kuisha kwa vitu hivi,
plate clutch
Na valve kweny injini
Timing chain
Piki piki inakosa nguvu kabisa haikimbiiii, mliman ndo kabisa
NDUGU ZANGU WANA JF, NAOMBENI UZOEFU KWA MWENYE UELEWA WA MAGARI YAFUATAYO,
1.. NISSAN PATROL YENYE ENGINE TD42
2..TOYOTA PRADO YENYE 2700 CC 3RZ ENGINE
3..LANDROVER DEFENDER TDI 2500 CC...
Habari ndugu zanguni.Naomba kujuzwa aina nzuri ya Toyota Hiace iwe kuanzia mwaka 2005 hadi 2008 diesel na showroom gani nitaweza kuipata pamoja na bei kwa hapa Dar es Salaam.Naomba kwa atakayekuwa...
Habari zenu wakuu...
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Naomba mawazo yenu katika hili.
kwanza kabisa mimi nimefanikiwa kumaliza chuo mwaka huu (water institute) diploma ila mpaka sasa nipo...
Wakuu habari za mida hii.
Niende moja kwa moja kwenye hoja,kuna jamaa wangu wa karibu sana anataka kuagizia gari Japan kupitia kampuni tajwa hapo juu. Katika kuwasiliana nao wakamtumia invoice...
Kwa wataalamu na wazoefu wa kutumia magari na kuyatengeneza anaomba msaada juu ya haya nagari. Kuna ndugu yangu anataka kuagiza gari aina ya townace truck na liteace truck, ametafuta ushauri kwa...
Wakuu hali gani?
Naingia kwenye mada tajwa moja kwa moja napenda kupata usaidizi wa kitaalamu hasa katika biashara ya bajaji.
Nimeona fursa mahala ila kuna miinuko kama ile ya Mbezi ya Kimara na...
Kuna gari tajwa hapo juu inauzwa na mm nahitaji gari naomba uzoefu juu ya aina hyo ya gari.Year of manufacture 2000.
Naomba kujua ubora/uimara wake,fuel consumption etc
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji Landcruiser 1Hz Series iwe katika hali nzuri.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790
Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni mbili na nusu...
Habarini Wana jamii forum. Ni wapi mbeya ninaeza pata fundi mzuri anaepiga rangi (metallic) na kurekebisha bodi, bodi yangu imesagika kidogo chini. Natanguliza shukrani.
Wakuu, salaam!!!..
Ninahitaji engine ya Landrover 110 - 300 Series.
Mwenye nayo ani-cheki inbox au kwa namba hii +255788246790
Bajeti/Pesa niliyonayo mkononi ni Millioni moja na nusu...