nimekuwa na sintofahamu juu ya ukweli kuhusu matumizi ya hizi oil kulingala na umbali...mara hii weka inakwenda km3000 mara hiii 5000km naomba kufafanuliwa ni kipi zaidi unatakiwa kujua katika...
Naombeni msaada gari yangu ikikaa muda kama wa masaa matatu nikiiwasha inawaka vizuri tu ila nikikanyaga moto inakuwa kama inamiss na inataka kuzima nikikanyaga sana yani mara nyinginyingi...
Sehem ya 6
Rangi ya gari na maana yake
Sehem ya 7
Ijue dashbodi yako
Uzi uliotangulia ktk mfulululizo;
Uzi maalum: Madereva wa magari (Sehem ya 4 & 5) - JamiiForums
Habari zenu wataalam.
Nimetembelea jukwaa lenu nikiwa na imani nitapata majibu juu ya hiki nitamanicho kujua.
Ni hivii mi ninamiliki gari ambalo linanisumbua sana na limefanya nigombane na...
Nategemea kufanya safari kutoka Dar kwenda Dodoma mwanzoni mwa mwezi November na gari yangu Subaru Legacy B4 2008 Push to start.. naomba ushauri juu ya mambo ya kuzingatia kabla, wakati na baada...
mambo vipi wadau hope you are doing Good
jama nataka kununua gari moja kati ya hizo hapo tajwa hapo juu jamani naomba ushauri kuhusu the best option interm of reliability and comfortabillity zote...
Habari wanajamvi, nimekua nkisikia kuwa tank la mafuta katika gari lina vyumba kwa ndani, nlipouliza nkaambiwa vyumba vnasaidia mafuta kuingia mengi zaid kuliko tank lisilo na vyumba hata kama...
habarini woote!! kuna kagari fulaani hv kimeingia bongo kinaitwa 'bajaj Qute' nafkiri kina engine kama ya bajaj nimekipenda kinafaa kwa sisi wabahili wa wese... sasa anayejua bei yake atuambie kwa...
Jamani kuna kitu kinapiga kelele nikikata kuna naombeni kujua hiyo drive shaft inauzwa shilingi ngapi kulingana na maelezo ya fundi wangu kaniambia ndo imekufa
kwa mfano gari ya petrol ndogo cc 1300 - 1900 ikianza kblink inamaanisha nna litre ngap za petrol zimebakia?
kama kna mjuvi wa kukokotoa hapo tusaidiane
Jamani nimetokea kuilewa hii gari sana na nina mpango wa kutaka kuimiliki.
Naombeni wajuzi kwenye hili jukwaa mnipe abc ya haya magari.
Ulaji wake wa mafuta
Services na upatikanaji wa spare...
Kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu watu kuibiwa mafuta kwenye vituo. Sio mbaya kuelimishana nini cha kufanya ili kuepuka wizi huu.
Kabla ya kujua nini cha kufanya ni vizuri tujue njia kuu...
Wadau gari ipo hapa ila cha kushangaza kila ukifungua mlango haufunguki na ufunguo unaingia mpaka ndani lakini haitaki kwenda clockwise ili ifungue na ni milango yote?
Shida nini na ufumbuzi
Natoa salamu za heshima kwenu nyote wadau wa jukwaa hili pendwa. Mwaka 2016 niliomba ushauri humu na kusadiwa kuhusu kuagiza gari toka Japan na kufanikiwa kwa asilimia mia, nasema asanteni sana...