Wakuu habari za majukumu ya kila siku. Nimepata shida sana napopeleka gari iwe ni service au Normal maintanance ya kubadili spea. Nashangaa nikienda garage badala ya gari kupona nakuta mafundi kwa...
Wakuu passo yangu ni four wheel drive tangu last month imekuwa na nguvu ndogo, yaani unakanyaga mafuta bado inakuwa inatembea polepole sana. Mlimani ndio kabisaa inataka hata kusimama. Kama kuna...
Wakuu kwema?
Aise sehemu gani nitapa used spare za gari za muhindi (TATA)?
Kuna spare natafuta, nimejaribu kuulizia kwa dealer wao hapa Tanzania aise ni ghali sana ndio maana nimeona bora...
Naomba ufafanuzi ili nisije kuingia matatani , Kimsingi naelekea CRDB kulipia gari kutoka kwa hawa SBT japan, Lakini najiuliza mbona wamenitumia commercial invoice badala ya Proforma invoice. Kuna...
Wazee hizo gari zinaitwa EV Cars yani Electronic Vehicles, ziko compact size ya kubeba watu wanne size ile ile ya "BEBIWOKA" tulizozoea kupishana nazo mtaani! Habari njema ni kwamba hizi gari...
Wadau naomba anayejua anisaidie. Redio ya gari langu kuna muda inatoa mlio mkali kama mluzi nalazimika kuizima. Tatizo ni nini? Kama vile kuna mwingiliano wa mawimbi au cjui nn.
Helloow ...
Naomba mwenye kujua walau bei ya makadirio ya full body toyota premio old model husimamia bei gan na wapi zinakopatikana nzuri ...
Niko dar
Gari yangu imeanza kusumbua lkn tatizo cjui, ni carina automatic gear,inawaka safi,unaweka gear D kama kawaida ila RPM ikifika juu ya 2 inakuwa kama ipo katika N yaani neutral sasa cjajua tatizo...
Ndugu wana Jf napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wale members wote waliotoa mchango wao wa mawazo, elimu, ushauri atimae nimefanikiwa kusolve tatizo LA gari yangu.
Gari yangu in Toyota...
Wanajukwaa naombeni ushauri wenu wa kitaalamu zaidi ila ulenge kwenye mambo yafuatayo:-ufanisi(performance),fuel consuption,durability,prices,spare parts haswa upatikanaji wake katika gari hizi...
Nimeona kuna baadhi ya magari ya toyota na makampuni mengine yakiwa na mfumo wa engine wa hybrid, naomba kueleweshwa yafuatayo:-
1. Nini maana ya hybrid-electric engine
2.Nini tofauti yake na...
Wapendwa wana JF.
Nina nia thabiti na mapenzi ya kununua Pajero i0 na nimetokeo kupenda sana aina hii ya gari.
Nakuombeni sana wana JF kama kuna mwenyewe welewa juu ya gari hili ikiwa ni pamoja...
Kampuni ya utengenezaji ndege ya Marekani - Boeing - itawasilisha rasmi ndege ya kwanza aina ya 787 Dreamliner kwa shirika la ndege la All Nippon Airways (ANA) la Japan.
Dreamliner
Awali...
Picha loading: NAUZA BAISKELI.
Nauza baiskeli kwa bei ya sh 80,000. Delela kama mtavyoiona. Inahitaji marekebisho ya shilingi elfu15 tu. Tatizo ni mzinga 70,000, digadi 3,500 na fundi 4500...
Diamond Mercedes of Prince
Diamond-Studded Mercedes Benz,This diamond-
studded, mink-furnished Mercedes SL600, worth $4.8
million, was unveiled at a Dubai auto show to celebrate
the 50th...
Aman iwe nanyi!! Naomba kufahamu kutoka kwenu ninyi wazoefu kuhusiana na gari aina ya volkswagen tauran katika utumiaji wa mafuta,speed/nguvu,spare n. k. Asanteni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.