wakuu kama title inavyosema, ipi hapo ni gari nzur ya kuchukua, maana now bei hazitofautiani sn, hata cc rav 4 ni 1990, wakati Harrier ni 2150.
wenye ujuzi na uzoefu wa hiz gari kwa barabara na...
The evasive maneuver test is performed to determine how well a certain vehicle evades a suddenly appearing obstacle. This test has been standardized in ISO 3888-2.
Forms of the test have been...
Hamjamboje wanajamvi
Naomba kufahamu ni vituo gani vya mafuta (Petrol station) vinavyotumia mfumo wa kadi na visivyo na usumbufu? Pia isiyochakachua pump zao. Mfano unahitaji kuwekea kadi yako...
Wadau tupeane uzoefu wa utumiaji wa mafuta ktk magari tunayotumia! Mimi naendesha gari aina ya Toyota Succeed(TX G Package) ina CC 1496 ya mwaka 2003. Kiukweli haka kagari nimetokea kukapenda hasa...
Wadau wa JF, binafsi, pamoja na basi za kichina kuwa mkombozi wa usafiri hapa nchini, lakini tuanze kumulika athari zake.Kwa leo nataja shida moja kubwa ya kiufundi inayojitokeza mara kadhaa sasa...
Wakuu kichwa cha habari chahusika,nataka ninunue moja kati ya hizo gari,ushauri wenu plz based on xperience and technicalities juu ya hizo gari!Asenti!
Wana Jamii naomba kwa yeyote anayefahamu anisaidie. Niliagiza toyota brevis toka Japan tatizo AC haileti ubaridi, compressor inazunguka, gas imo ya kutosha,nimepewa ushauri na mafundi kuwa...
Natumaini hamjambo,,
Ninahitaji Boxer BM 150 (used iliyo katika hali nzuri) kwaajili ya matumizi binafsi, hivyo ninaomba kujua jinsi yakutofautisha kati ya fake (mchina) na original (muhindi) pia...
Wakuu side mirror yangu moja imepasuka kioo,nimechongesha kioo cha kujitazamia nkaweka bana,dah kumbe sio kabisa yani sipati ile wide view kama kioo halisi cha gari!Wapi naweza pata kioo halisi...
Ivi ni sababu zipi za kisayansi ama za kawaida zilizo na zinazosababisha mpaka leo uskani (sterling) ya gari isiwekwe pale katikati bali huwekwa pembeni kushoto ama kulia mwa gari
Wakati kwa...
Habari wakuu!
Nipo kwenye mchakato wa kuagiza gari mojawapo kati ya mercedes benz w203 na Bmw E90 ila nahitaji mawazo yenu kuhusiana na: Uimara,running cost pamoja na matumizi ya mafuta.
Habari wana jamii forum.
Ninauza Honda CRV RD5 ya 2003
Taarifa zaidi ya gari ni kama ifuatavyo;
Body: SUV 5doors
Engine: K24 i-VTEC, 4 cylinder, 2000CC
Transmission: Automatic 5-gear, 4WD, ABS...
Wapendwa naomba kama kuna mwenye link ya website ya polisi ile inayokuwezesha kujua kama gari inadaiwa, nilikuwa nayo lkn nilipo format simu ya gu kila kitu kikapotea. Natanguliza shukrani
Wadau naomba kupata ufahamu kuhusu hii gari (Mitsubishi Pajero V78W; Engine CC 3200-Diesel) ubora au mapungufu yake (mechanically), fuel consumption etc
Habari Wakuu, nina maswali mawili kwenu
1. Kuna Gari aina ya Fuso hii Gari ikiwa inatembea alafu Dereva akafunga Break ya ghafla hii Gari inazima japo kakanyaga Clutch (maana inakua katika Gia)...
Wadau nikiwa mtumiaji mkubwa wa mabasi ya abiria yaendayo mikoani nimeanza kupata hofu kutokana na wimbi la mabasi hayo kulipuka na kuwaka moto na kusababisha vifo na upotevu mkubwa wa mali...
Habari ndugu zangu!
Gari aina ya Noah Townace, Old model (Automatic)... Speedometer yake haisomi kabisa, na imeecha ghafla! JE, NICHEKI NINI HASA? (Ninayo Idea ya umeme wa magari ila sijawahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.