Gari hilo maarufu lililopewa jina la BEAST (mnyama mkali) kutokana na kusheheni mifumo mbalimbali ya kujilinda dhidi ya jaribio la mashambulizi kwenye msafara wa rais wa Marekani, limeonekama...
Wakuu,
Naomba kujua toka kwa mafundi na wenye uzoefu, hivi hakuna teknolojia nzuri ya kurudishia mabampa ya hizi gari? Maana naona gari nyingi sasa hivi tena "mpya kutoka Japan" zinang'oka sana...
Habarini za muda huu ndugu jamaa na marafiki.....
Tunamshukuru Mungu tunaishi.
Ndugu zangu naomba ushauri kuhusu ni gari ipi nzuri ya kununua, nimejichanga sasa nimeona nipate usafiri hapa nina...
Humu JF na kwingineko kwenye Social platform kumekuwa na mijadala isiyoisha 'endless debates' juu ya magari madogo ya kutembelea vs yale makubwa na yenye injini kubwa...Binafsi nimekuwa...
Wakuu,
Naomba kujua toka kwa mafundi na wenye uzoefu, hivi hakuna teknolojia nzuri ya kurudishia mabampa ya hizi gari? Maana naona gari nyingi sasa hivi tena "mpya kutoka Japan" zinang'oka sana...
Msaada wakuu,
Uzuri nilishaiegesha nipo zangu ndani nasikia mikelele, tatizo nini?
Kwa anayefahamu anielekeze.Kwasasa nime disconnect battery ya gari ndio imeacha kelele ila nikiconnect tu...
Wakuu, mwenye kufahamu gharama za kufanya overall engene kwenye gari aina ya rav4J, mnisaidie ili nifanye bajeti sahihi, na mambo gani muhimu ya kuzingatia ktk kufanya overall engene
wakuu kuna hizi gari mbili nataka tuchukue moja wapo naombeni ushauri ipi itakuwa nzuri kwa mizunguko ya mjin na safari za mkoani mwisho wa mwaka.
hiyo hapo juu subaru.
harrier hiyo hapo pia
Habari nahitaji stabaliser link kwa ajiri ya subaru forester crossport iliopo imechoka gari inagonga kwenye bumps. Nahitaji moja tu niambie eneo ulipo na bei kwenye pm.
Wakuu,
hii gari nimeielewa sana kuanzia muundo wake wa nje, ndani naperformance yake...
nimeona ya 2WD(inayovuta mbele) inakwenda 100KM kwa 4.7L na ile ya AWD(mbele na nyuma) inatembea 100KM kwa...
Habarini wakuu, naomba msaada mwenye ujuzi na uzoefu kuhusiana na bajaji za mizigo za wanhoo zenye carrier kubwa kidogo, anipe mwongozo hasa kuhusiana na uimara wake ukilinganisha na hizi nyingine...
Nina gari aina ya premio old model niliiacha nyumbani wiki moja nikaenda safari nimerudi nikawasha imegoma kuwa nikatoa betri kwenda kucharge nimerudisha betri bado imegoma msaada please
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.