Habari wataalamu mbalimbali wa vyombo vya moto.
Gari yangu spacio old model nikifikisha speed kuanzia 120km/h inaanza kutetemeka hasa katika usukani....hali hii inakuwa inanipa wasiwas wa kuongeza...
Wadau nilikata leseni mwaka 2012 nilitakiwa ni re new mwaka 2015 lakini sikufanya kutoka na kutokuwa na yo huko nilikokuwa kuhangaika na maisha.Nimerudi mwaka huu 2018 mwezi wa 8 je naweza ku...
Kwa waliowajuzi na mambo ya mechanics, ni ipi hasara kwa gari ya kuvuta /keep on handbrake ya gari pasipo kuminya button. Na kuvuta handbrake kwa kuminya button.
Wakuu habari za jioni na natumai tunaendelea na maombolezo ya kitaifa.
Hili jamvi naamini ni jungu kuu halikosi ukoko kwa yyte anayejua app ya kuzuia hacking au kujua km cm yako imekuwa hacked...
Wakuu heshima kwenu.
Well, naomba kufahamu ufanisi wa betri hizi mbili kati ya N70 na MF DIN55 ziko sawa kiufanisi na ubora au ziko tofauti wakuu...?
Ipi ina nguvu kuliko ingine kati ya hizi na...
Heshima kwenu wakuu!
Kwanza niseme kuwa sio mtaalamu katika mambo ya magari.
Naomba kujua ukweli kuhusu ubora wa gari unavopungua kadri gari inavozidi kutembea. Ni kilometa ngapi ambazo gari...
kama una vtz new model
push to start, no D,full ac
ambayo ipo kwenye hali nzuri
engine vvti
isiwe ya rangi nyeupe,
isiwe na tatizo lolote nasisitiza
nitafte haraka ukiwa na picha zake zote...
Habari wadau!
Heshima yenu mabibi Na mabwana!
Kwanza kabisa nimekuja mbele yenu kufutwa tongotongo katika macho yangu!
Nahitaji kujua ni gari gani nzuri kati ya Suzuki swift VS toyota cam...
Habari wadau.
Naomba ushauri kwa mwenye ujuzi na gari za Nissan Xtrail model ya 2002 sababu ninahisi ya kwangu inatumia mafuta mengi sana. Nina miezi mitatu nayo toka niiagize kutoka japan...
Wadau nataka kununuwa gari mojawapo kati ya hizo hivyo naomba msaada wakujua ni gari ipi nzuri kati ya hizo.
Nimelenga kumiliki Family car with 4 silinda na bajeti yangu ni 15m.
Nielimishe..
1)...
Habari yako mdau?
Kuna ndugu yangu anataka kubadiri namba za pikipiki yake ambayo ina zile za zamani za T 000 XXX na bahati mbaya kadi imepotea.
Kwa mwenye uelewa na hili la usajiri wakati kadi...
Kampuni ya BMW imeonyesha pikipiki yake (bodaboda) ambayo inaweza jiendesha yenyewe bila mtu kuicontrol (self driving).
Ingawa BMW wenyewe wamesema hawataiweka kwenye uzalishaji pikipiki hiyo ila...
Nimennua kwa mtu karibuni iko na muonekano mzuri,juz nikaijaribu kwenye milima ya kawaida tu ina feli aisee ad natumia moja pia ina kelel kama tapert zinagonga bado sijamuona fundi naomba mawazo...
Habarini wadau kutokana na shughuli zangu za hapa na pale. Nahitaji kununua Pikipiki Aina ya Suzuki Tf125 mwenye uzoefu nayo au anayewahi kutumia. Na je? Dukani inafika kiasi Gani kwa sasa,
Uimara...
Habarini Mafundi.
Kuna hizi bajaj (TOYO) zinazochajiwa kwa umeme, Nahitaji kubadilisha mfumo ili iwe inatumia Mafuta ya petrol au diesel. Msaada wenu ni wa muhimu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.