JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Kama kichwa cha habari kinavojieleza mwenye nazo anijuze
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Ndugu wanajamvi naomba tujuzane aina nzuri za oil ya magari hasa madogo ya petrol. Mara nyingi sana hawa mafundi wetu hawako kama wanajua sana, unaweza kumuuliza fundi oil hii ni ya km ngapi...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Habarini wakuu. Naulizia kama kuna mtu yeyote anayefahamika kudesign sports body kit za gari mbali mbali, maana huwa napishanana tu barabarani na watu wamepimp gari zao ila sijui exactly kwa dar...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu kwema Nina Toyota corrola100 limited..oil gan no nzuri kwake?! Imetembea km 2.6k...engine 5a 1.5
1 Reactions
4 Replies
907 Views
Wadau naomba ushauri nimekuwa nikisave pesa kwa muda mrefu iliniweze kununua gari ambayo itanisaidia kwenye safari pamoja na majukumu ya hapana pale.. NAOMBA USHAURI KULINGANA NA VIGEZO...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wandugu natafuta crankshaft ya pikipiki honda VT 250 pesa ipo tayari, kwetu hatuna shida, mwenye kuwa nayo anicheki 0622767748
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani mwenye kujua wapi naweza kupata crankshaft ya pikipiki honda vt250
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyo eleza nataka kuagiza Toyota ISIS naomba kujua zinachangamoto gani kwa anaye zifahamu.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari WanaJF, Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana. Kwa wenye experience na Brevis umbali wa Km 30 inakula lita ngapi? Ili nipate picha halisi...
0 Reactions
270 Replies
36K Views
Wana jamiii,,,naombeni mwenye taarifa zozote za wapi Bajaji used kutoka nje zinauzwa. Nataka bajaji used ambayo iko katika hali nzuri kwa ajili ya kufanyia biashara. Mtaji wangu sii zaidi ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Toyota Ractics nataka kununua niambie matatzo na uzuri wake kiufundi
0 Reactions
3 Replies
732 Views
Wadau msaada kwa anaefahamu kuhusu vitz old model nikiwasha AC inaishiwa nguvu sasa sijajua ni tabia au ndo uwezo wake ilivyo?? Kwa anaefahamu naomba anijuze Asante
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka kubadili engine , ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti. 1: Je engine ya aina gañi iliyo nzuri kwa matumizi na inayo weza Ku fiti vzr kwenye body ya Isuzu bigon 2...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je kama unataka kukadiriwa kodi, eneo la kujaza mafuta hakuna option kama gari ni ya umeme tu. Kuna petrol na diesel. na ukiacha blank haitoi majibu. Au Tanzania hatujaruhusiwa kuimport magari ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Nataka kubadili engine , ya gari aina ya Isuzu bigon, ili niweke engine nyingine tofauti. 1: Je engine ya aina gañi iliyo nzuri kwa matumizi na inayo weza Ku fiti vzr kwenye body ya Isuzu bigon 2...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
naomba kuuliza wapi nitapata injini bora ya mtumba ya mark 2 gr,shafti ilishachongwa nataka kubadili moja kwa moja injini maana gharama za kuchonga na kununua baadhi ya vipuli naona ni ghali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wanaJF, nina swali kidogo kama heading hapo juu. Je kuna athari zozote kuendesha gari (automatic) ukiwa umechomoa funguo? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari wanajukwaa naomba kujuzwa bei ya engine ya toyota duet Model no UA-M100A Year 2013 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari,naombeni bei ya front wheel bering na shockup na coili spring zake za mbele za freelander 2 2004
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar za jumatatu ya kwanza ya mwezi September!! Naamin tu wazima! Kama somo linavosimeka hapo juu,,nahitaji sports ream za premio new model!! Nitafurah kama nitazipata zinazokuja na Magar ama...
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Back
Top Bottom