Habari za jioni wakuu!
Nahitaji spear mbalimbali za gari aina ya Toyota 1 st nauliza kwa dar ni wapi naweza pata kwa bei nafuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu,
Niliagiza gari, ndio namiliki gari kwa mara ya kwanza hivyo vitu vingi bado ni mshamba hivyo nahitaji ushauri wetu mniongoze.
Wakati naagiza gari nilishaangalia makadirio ya kodi kwenye...
Habari wakuu,
Humu ndani kuna wajuzi wengi wa magari hivyo naamini mtatoa ufafanuzi wa kina kuhusu haya magari ya aina mbili.
1. Nahitaji kufahamu stability nacomfortability ya Subaru Legacy B4...
Kwa yeyote aliyewahi kununua gar kwa kuagiza Japan naomba msaada gari ambayo inauzwa Japan Dora 3000 mpk ikafike kwangu inaweza kugharimu tshs ngapi kwa kutumia kampuni ya be fowarded
Ni ule ungaunga wa kwenye exhaust pipes.. Mnapata changamoto gani? Ni sababu zipi zilifanya ukatoa kwenye garu yako.
Yangu nilitoa kutokana na gari kukosa nguvu na ilionekana iliziba due to plus...
Gari ina matatizo yafuatayo yaliyotokea ghafla
1. Taa za dashboard haziwaki ukiweka switch on hata gari likiwaka
2. haipig honi
3. ukiwasha indiketa haioneshi chochote
4. Ukikanyaga breki...
Habari wadau, kama kichwa cha habari kinavyoeleza, naomba kujulishwa fuel consumption ya Toyota Ipsum kwa mdau yeyote anaeijua vizuri. Pia naomba maelezo zaidi kuhusu gari hii (mazuri na mabaya...
Kwa aliyewahi kuagiza gari japani anisaidie hivi gari inayouzwa japani Dora 3000 mpk ikafike hapa kwa kutumia kampuni ya be fowaed inaweza kuchukua tshs mpk inifikie mlengwa
Wadau Kwema?! Samahani kama kuna mtu anafahamu wa hizi gari. Kuanzia Uimara wake, Ulaji wa mafuta, upatikanaji wa Spear zake, comfortability yake n.k.
Nna mpango wa kuagiza kutoka Japan so kama...
Ndugu zangu nawasalimu humu,
Kama mada inavyojieleza hapo juu, ni kweli kiasi cha hiyo pesa naweza pata ka ndiga ka kuzugia au nijazie kidogo? Aina ya gari ni Toyota Run x, Allex, IST, Raum au...
Wataalamu wa magari naomba msaada wa kitaalamu, nina gari tajwa hapo juu, ni mara yangu yakwanza kuimiliki sasa umefika wakati nahitaji kubadilisha hydrauric ya gia box, niliponunua na kumpelekea...
Kuna ndugu yangu kaagiza gari imefika hadi dar kaambiwa hajalipa inspection haelewi chchote alimuomba mtu tu amuagizie mana ake ni nini na hua utaratibu ukoje hadi gari ikufikie mana hadi sasa iko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.