Kuna ndugu yangu kanitumia hizi screenshots bila maaelezo ya ziada.
Nimejaribu kutafuta kwenye media husika pasipo mafanikio.
Ila naamini hapa sitatoka kapa.
Natanguliza shukrani
Leo nimekamatwa na traffic police nakuandikiwa risiti nilkalipe elfu 30 kisa rangi ya gari yangu kwenye bonnet imepauka.
Nilipomuuliza kupauka kwa rangi kunahatarisha vipi usalama wangu na...
Wana JF apend kufahamu magari ya kijapan yenye kutumia mafuta na umeme hapa bongo kama yapo na uendeshaji wake (gharama) za kuyafanya yaendelee kuwepo barabarani ikoje.
Mtaalamu wa umeme wa magari 'Morogoro kwa matatizo ya umeme wa magari tucheki! Kwa msaada na kwa huduma pia kwa matatizo ya Taa!'starting system'sensors' zaid kwa matatizo na namna ya kuclear...
Wadau wa jf kwema? Naweza pata gari aina ya toyota passo yenye namba D kwa bei ya tsh milion 4? Yenye cc900? Naomba kupokea ushauri na mawazo kutoka kwenu ni mgeni kwenye maswala ya magari
Habari wanajamiiforums,
Nina mpango wa kuagiza toyota IPSUM toka japani na gari nimeshalichagua ila gari yenyewe imeongezewa mabampa kama mishale kwenye picha inavyoonyesha. Mapampa haya...
Salaam wakuu,
Naomba tubadilishane ufahamu juu ya gari za aina hii.
Nahitajj kumiliki moja, naomba kufahamu bei imesimamaje hv sasa kwa used toka Japan au uingereza. Vipi kodi zetu hapa kwa...
habari zenu wakuu, naitaji kumiliki gari kwa mara ya kwanza na nimetokea kuzipenda gari aina ya ford fiesta au focus ya mwaka 2005 kushuka chini. kwa wale wazoefu wa magari naomba kujua kuhusu...
Habari wakuu,
Nafikiria kuchukua Toyota landcr prado kama aina inayoonekana kwenye picha hapo chini. Naomba mnipe taarifa zake juu ya ulaji wa mafuta na uimara kwake kwa ujumla.
Hello wanandugu zangu ,Kwa wale ambao wanataka kununua Gari aina ya Toyota Voxy wawe wanajua hili Jambo ,Ni ngumu sana kuja kuiuzaa ,Yaani mafundi wanaikandia sana sana wanasema eti inaharibika...
Habari wakuu,
naomba kuuliza kwa watu ambao waliwahi kupata matatizo ya gear box kuslide,
je mliweza kufix gear box zenu hizo hizo au mlinunua gear box mpya,
na kama mlibadili vifaa vya ndani...
Habari zenu wakuu.
Wakuu naomba tueleweshane kwenye hili,ni kama macho yangu yameshazoea kuona fundi anayejiusisha na magari,pikipiki na vinavyovanana na hivo kuwa ni WACHAFU. Sisemi ni wote...
Habari wanajamii!,
Naomba ushauri nini nifanye kutatua tatizo kwenye gari (nissan x trail). Nilibadilisha crankshaft position sensor recently, ila baada ya hilo zoezi, check engine light ipo on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.