Habari wana jf haya ndio magari yangu mawili nnayo yapenda na ninatamaninkuyamiliki pale nitakapotembelewa na pesa. Magari hayo ni kama nilivyoweka picha zake hapo chini pamoja na bei zake za ku...
Wakuu,ninahitaji Mlango wa kulia(wa dereva) wa Toyota Spacio New Modeal ya mwaka 2005.
Napenda kuelekezwa sehemu ninayoweza kupata kwa hapa Dar Es Salaam na kama vipi ningependa kujua una-cost...
Wadau vipi,
Gari langu lilitoboka gia box sasa imeenda kuzibwa gari haiwaki kila ikipigwa stata haiwaki betri ipo poa.
Naombeni ushauri wenu tatizo linaweza kuwa ni nini? Kuna fundi wa wiring...
Wataalamu tafadhali pitieni hapa. Ni zipi zinazoweza kuwa sababu za gari ya petrol kuanza kutoa moshi kwenye ekzosti?
Moshi wenyewe unatoka kidogo tu na siyo mfululizo bali wakati fulani tu kama...
Habari za wakati huu!
Siku ya jana nmeona tangazo la pikipiki za umeme (electric bike) zinazouzwa jijini Dar es salaam.
Nimefurahishwa kwa sababu inaonesha tunaenda na kasi ya mabadiliko...
Wakuu salaam.
Gari lipi linafaa kwa safari za hapa mjini,kutoka king'azi shule hadi posta kila siku.
Bajeti yangu ni 9mil na nategemea kuliendesha kwa maisha ya mshahara sina chanzo...
Gari langu ni automatic. Nimegundua kuwa ninapokuwa barabarani high speed inachelewa kuchanganya gia, Tatizo hili limeanza kama wiki mbili sasa, na mara ya mwisho nilitoka Dar kuja mkoani, nikiwa...
Wakuu habari zenu,
Gari langu juzi nimeshusha giabox kwenda kuziba palipotoboka, baada ya kurudisha giabox gari imegoma kuwaka.Ikiwashwa injini inazunguka ila inakataa kuchanganya. Nimejaribu...
Habar yana jamvi, kama mada inavojieleza hapo juu, gari yangu inawaka taa ya check engine kwa muda mrefu sasa, baada ya kufanya Diagnosis imeoneka kuwa VVT system haipo vizur/VVT SYSTEM...
Habari ndugu zangu hope mko poa Na buheri Wa afya ..ndugu zangu samahanini sana me Mgeni Wa magari kwenye pita pita zangu nimeona GARI ya Audi TT 2011 iko poa sana INA cc 1980 nimeipenda Na very...
Wakuu Heshima.
Katika pitapita huku na kule ningehitaji tufahamishane Mawili matatu.
Je ni gari gani za Ama Europe au America ambazo kwa Bongo ukiwa nayo huwezi jutia sababu spare zipo kana...
Habari?
Sina hakika kama kuna uzi unao elezea hili.
Magari haya tunayo tununua kutoka Japan nk. Mara nyingi huwa tunakuta funguo maja tu.
Lakini naamini kuna mahali funguo ya pili huwekwa /...
Habari ndugu zangu hii GARI sichoki kuitamani nakuiwaza kichwani kila mda cc 2000 ni mini sports car pia nilivyosoma inafaa Na rural roads nilikuwa nauliza gari za engine za ivi vipi wese yake?Na...
Habar zenu wanajamv
Baada ya kujichanga kwa muda natarajia kuagiza gar naombeni msaada anaejua hii gar vzur pmoj na specification zake,gharama zake mpka unaitoa bandarini
Msaada wenu wa haraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.