Habar Wana JF, ningeependa kujua Kama kuna mahala au yard ya Magar, napoweza kupata na kulipa kwa awamu kid go kidgo kwa riba, nahitaj Sana usafiri niko Arusha.....maximum 7 million. Asanten wakuu
Wanajamvi naomba msaada gari langu aina ya premio old model injini yake ni 7A ilikuwa inatoa moshi mwingi nikikanyaga moto moshi mwingi sana nikaenda kwa fundi kaniambia ring piston nikabadilisha...
Habarini za jioni wapendwa,
Mmoja kwa moja bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada.
Naomba mwenye uelewa kuhusu TOYOTA BREVIS yenye cc 2490 aniambie inakulaje mafuta?
Yaani nataka kujua...
Habari wanachama wote wa jamii forums na viongozi wote kwa ujumla.
Naamini jamii forums ni mtandao bora wa kitanzania katika kujua habari mbalimbali katika jamii na kukufanya kuwa mmoja wapo wa (...
Heshima yenu wana JF.
Nimekuwa nikijiuliza swali hili mara kwa mara na sijapata majibu sahihi.
Mwanzo niliponunua gari miaka minne iliyopita nilikuwa naona gari inachanganya haraka sana...
Nataka kusafiri next month kwa kutumia usafiri binafsi gari aina ya Noah old model.
Kwa mwenye uzoefu snipe makadirio ya mafuta kiasi gani nitatumia kutoka Dar es Salaam hadi Mbeya.
Please.
Wanajamvi,
Gari yangu aina ya Toyota Noah, enine yake ni 1AZ, baada ya kukagua maji na oil niliiendesha mita kama 50 hivi nikasimama ili niingie dukani, kabla sijaizima ikazima yenyewe. Baada ya...
Habari zenu ndugu zangu ..naomba kuuridha kwakuwa mie Mgeni Wa magari nimetokea kuipenda Audi TT ya Mwaka 2011 cc1989 kama sikosei location IPO Yokahama Japan hii GARI adi inafika Tanzania port ni...
Wadau kama ambavyo uzi unasomeka, gari yangu inawasha taa ya check engine, sometimes taa ya ABS pindi ninapotembea Km 5,6--, namtafuta fundi mwaminifu na mjuvi wa kurekebisha hizi taa au garage...
Wanajamvi nataka kuagiza gari yenye cc chache ili nisipate mawazo kwani nakaa bagamoyo na nafanya kazi mwenge. Nahitaji kuagiza gari dogo na choice yangu ni toyota cami au corola. Naomba ushauri...
Wadau,nina nissan caravan ya petrol inafanya kazi ya usafirishaji.Dereva analalamika inakula mafuta sana.nimepeleka kwa mafundi wamekagua maeneo mengi hawajaweza kubaini tatizo.Wamebadili...
Hello GT.
Naona hizi model mbili za Landrover zipo safi sana .Nafikiria sana kwanini matajiri wa Tanzania hawazipendi kuzinunua Au zina shida ? Kwa ndani utafikiri uko kwenye ndege ,Zipo chache...
Habari za masiku wanaJF! Ni mda mrefu kweli sijaskika hapa, nimekua "sabbatical" yaani likizo ya kujiongeza. Mda huu umekua wa faida sana kwangu kw kua nimepata masomo kuhusu sekta mbalimbali za...
WanaForum habari zenu.
Nimegiza gari kutoka Japan Mark x/2005 na ipo karibu na kuwasili. Nahitaji kujua (from technical point of view) nini natakiwa kufanya kabla ya kuiingiza gari barabarani...
Wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nanunua magari yaliyogongwa ya aina zifuatazo:-
Toyota Hilux
Toyota Surf
Rav 4 Old Model
Isuzu Wizard
Suzuki ya aina yoyote
Gari nyingine zinazofanana...
Watalaam, nimemtaja Chief Mkwawa sababu alinisaidia kupata Amazone fire Stick.
Sasa nina mdogo wangu anataka kuninulia mida hii Roku au Chrome cast UK, Manchester yaani nitayochagua. Imebidi...
Poleni na majukumu ya leo.
Ningependa kujua kuhusu matatizo ya Mitsubishi pajero mini kwa sababu nimeona wengi wakiisema vibaya. Kuna ambao wanadai ulaji wa mafuta, wengine gear box na wengine...
Wadau temperature gauge inafika katikati gar ikiwa Ipo parking Na ikipanda mlima,nikianza kutembea let says peed 60+ gauge inashuka,je inaweza kuwa in tatizo gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.