WADAU,
Nina gari langu sasa ambalo linatembea lilikua lime park kwa muda mrefu saana lipo poa, ila lina shida inayonisumbua.
Taa ya check engine huwa inawaka hasa nikiendesha speed walau ya...
Wanabodi,
Nina gari langu sasa ambalo linatembea ila lina shida inayonisumbua leo miezi mitatu tangu lianze na kila ninapolitatua halitatuliki.
Taa ya check engine huwa inawaka hasa nikiendesha...
Wakuu habari.
Wengi wetu tunanunua magari used kutoka nje. Hayo magari yanakuja yametembea vya kutosha tu. Mengie hadi kilometa 60,000 hadi 150,000. Ila cha kushangaza ukiyaona bado mapyaa kwa...
Habari wakuu natafuta Fundi gari,
Gari yangu ni harrier inatatizo kwenye mfumo wa oil,mwanzoni oil ilikua haipandi kabisa na taa kwenye dashboard inawaka.ikawa inapiga kelele,nilibadilisha oilpump...
Good news for the buyers of used cars from Japan.Beforward has added PayPal as its form of payment.
This means that anyone now can buy a car online confidently.
Habari za jioni wadau
Mwenye uzoefu wa magari haya naomba anidadavulie kidogo, lipi ni bora kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani nataka niagize toka Japan (the strengths and weaknesses of each...
Toyota Mark X nataka kujuwa zaidi kwa wale wengine wanazozitumia kama kuna common changamoto wanazokutana nazo zaidi ya kujaza full tank Ltrs 70 na uchumi wa sasa. Kwenye kuitumia kwa matumizi ya...
Wadau mimi huwa nina tatizo moja na mafundi. Fundi wangu wa muda mrefu alipata dharura akasafiri. Nikaanza mtumia mwingine. Gari ilibadilika ulaji wa mafuta ikawa inatumia lita 1 kwa kms 6. Wife...
Wakuu habari,
Naomba kuulizia magari ambayo hayali mafuta kwa siku unaweza weka lita ngapi? Mfano unaenda nalo kazini tu kila siku.
Umbali wa kazini na nyumbani kwa daladala ni 1000 kwenda na...
Habari wadau. Kuna kitu huwa kinanitatiza kuhusu ubora wa mafuta ya gari kwenye vituo vyetu. Je hivi vituo (petrol station) zina mafuta yenye ubora sawa au kuna ambao mafuta yao yana mapungufu...
Tunatoa huduma ya Diagnosis ya Gari kwa bei ya kishkaji Tsh 20,000 tu.
Huduma itakua na moja au yote kati ya haya:
1. Read and Clear Check Engine Lights.
2. Read and Erase ABS & SRS trouble...
Wadau heshima kwenu.
Naendelea kupata maoni yenu kama kawaida, naomba kwa mwenye uzoefu wa hizo gari tajwa hapo juu aniambie nini hasa utafauti wake hasa kwenye
1. Ulaji wa mafuta..wastani km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.