JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Jamaa ana Rim moja imechanika (inch 22) wakati vijana wa NIT wakiipima gari yake. Kaunga mkoani mara 3, lakini kila akiunga huwa inatoa upepo kidogokidogo. Anatafuta wataalamu wa kuunga rim...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Guys hope doing great! Naomba tupeane uzoefu kwa magari tajwa hapo juu Vipi suala la economical fuel consumption, frequencye mainatance, availabilty and cost of spear parts, withstanding long...
0 Reactions
16 Replies
10K Views
Nawasalimu wadau wa JF. Nahitaji kununua gari tajwa Kwa ajili ya shughuli za hapa mjini. Ni model ipi ni nzuri kati ya mwaka 1999-2004? Naprefer iwe manual, natambua hili ni jukwaa la wajuzi wa...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Naomba ushauri wataalamu, nimeplan kununua gari kati ya subaru impreza sportwagon au Toyota Gaia ya 2001, kipi ni nafuu kati ya kununua show room au kuagiza japan?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakubwa nina ndugu yangu amehitimu kidato cha nne 2014 na kupata GPA ya 0.3, amekuwa kama mzigo sasa hakuna anachokifanya cha kumuingizia kipato ila ni dereva mzuri sana japo hajapitia mafunzo...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wana JF naomba mwenye uelewa au ashatumia Magnufuel anipe uzoefu,au ni utapeli? Hiki kifaa kinafungwa kwenye gari kupunguza fuel consumption wanadai kwa more than 20%
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Habari wadau nauliza kama naweza polish gari kuongeza ule mng'ao kama wa gari jipya (wax) kwa dar, ni garage gani nzuri na price kama ikiwezekana kujua au kama naweza nunua wax nika polish...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu kwa post na maoni ambayo yamekuwa yakitolewa na kunielimisha kwa mambo mbalimbali. Naomba kufahamu tofauti ya kiubora Kati ya...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Pikipiki Super cub ya Honda/YAMAHA Kama hii pichani kwa Dar es Salaam zinapatikana maeneo gani na ni bei gani? Inahitajika kwa ajili ya mizunguko ya kawaida na kubebea vitu vidogovidogo tu, Sio...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu habarini za kazi katika pitapita yangu nimekuwa nikikutana sana na hizi gari( Toyota swift) na kwa kweli kwa hali ya maisha iliyo ya kibabe nami nimevutiwa sana kuwa na haka ka mnyama. Nina...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Siingei chochote, video imejitosheleza...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau nafikiria kumiliki huyo mnyama. Za mwaka 2010-2014 bei gani yard? Naomba kujua risk zake na advantages Zeke. Mi najua moja ya ulaji wa mafuta
0 Reactions
87 Replies
17K Views
Wakuu , Mwenye GARI Inayoeleweka Tufanye Mazuri, Ninayo 20Mil Caaaaaaash Naposema GARI namaanisha GARI Sio Usafiri, Wenye MaGari wamenielewa. ni cheki PM kama upo serious
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf hongereni na majukumu ya kazi naenda direct kwenye mada baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya udereva ilibidi nianze kujipa uzoefu wa reverse sasa Jana nimeazima gari aina ya sienta...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana janvi na wajuzi wa magari,nina gari yangu toyota ractis iligongwa,so baadhi ya vitu vimeharibika vibaya,nimejaribu kutafuta nimepata vichache vingine nimekosa ,naitaji dashboard...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamii, natafuta knock sensor ya nissan serena mwaka 2000. Kwayeyote anaefahamu au mwenye nayo naomba tuwasiliane 0738385338. Knock sensor sio ya gear box. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Kichwa cha habari cha husika. Nahitaji gari mpya ya kuagiza nje! Je ni kampuni gani yenye gari nzuri nyepesi kwa speed , yenye uwezo wa kupanda sehemu za milimani na yenye kutumiaafuta kidogo kwa...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
wadau naomba tujuzane kampuni mnazotumia kuagiza spare parts.. mimi ni mdau wa sports cars na mara nyingi nimekuwa nafanya mods kuanzia bodykits hadi perfomance (tuning) natumiaga bidhaa za I&N...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Msaada natafuta mkono wa piston engine ya 1TR-FE. kama kuna mtu anao. gari ni hiace. Model ni TC-TRH122k-ERMDK Asante
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom