Ndugu zangu naomba msaada, nimenunua gari kwa mtu Hiace Super Custom nzuri sana, alikuwa anaitumia kwa safari za hapo Dar binafsi. Sasa nataka kuibadili kuwa ya biashara. Je;
1. Kubadili kadi...
Leo nataka kuambia dawa ya kuondoa ukungu au Taa kufubaa ni raisi sana chukua koroget nyeupe kisha pakaa taa baada ya dakika 5 uanze kusugua na kitambaa cha raini chenye pamba utaona mabadiliko by...
Digital music changer ni kifaa kinachokuwezesha kutumia media kama USB Flash drive na 3.5mm audio jack kwenye radio ya gari lako na kupata muziski mzuri bila kuibadilisha radio inayokuja na gari...
Members naomba kuuliza hiyo gari hapo Nissan March sura kama kobe, Je inaweza kufaa kwa biashara ya taxi ? au hata uber ? hasa kwa Dar
Nimeamua kuuliza kwa sababu sijawahi...
Pale unapoendesha gari ya manual ile gear lever inawezekana ikawa kama kitu kigumu kwako, lakini unapoizoea ni kitu cha kufurahisha na starehe kucheza nacho hasa unapokuwa barabarani. Kuna baadhi...
assume pikpik inatembea 80km/h, gari nalo linatembea 80km/h...Je, kuna uwezekano qari likafika mapema au kuiacha pikpik?
note: safar si ndefu mfano urefu wa 10km.
wataalam naomben majib mana...
Jamani wanajamvi naomba kuwakilisha kilio changu cha muda mrefu kwani naamini hapa ni sehemu maalumu ya kupata msaada. Nikwamba nina gari aina ya Suzuki Escudo CC 1,500 cc ya mwaka 1997. Hii gari...
Suzuki escudo inakula mafuta kupitiliza 1lit kwa km 3.3 tu nikifanya kupita high way naweza kwenda km240 kwa 21lit tu lakin nyumban ni km5 kwenda na kurudi zinakuwa 10 hivyo nikiweka mafuta hizo...
Nimekuwa nikijiuliza sana wengi wetu humu tunabadilisha Oil na spare nyingine za gar kwa kufata km ilizotembea je mfano Oil huwa inaendelea kufanya kaz hata gar isipokuwa kwny motion mfano kwny...
Ndg kumbe haya magari ya automatic ni hatari tofauti na tunavyojua.Gari ikakatika Belt(kuna mkanda fulani wa kuzungusha injini) inagoma ku-function chochote kunzia moto,break na usukani. Option...
Hii ni thread maalumu kwa watumiaji wa Subaru Legacy B4
Tunakutana hapa kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusu gari zetu, mfano; Sehemu nzuri ya kufanyia service mkoa wowote ule ulipo, spare...
Wadau kuna Gari nataka kuagiza kutoka Japan lakini ajenti ameniambia litakuja na tairi mpya zikiwa zimepakiwa ndani ya gari, sasa swali langu ni kwamba, Je kuna ushuru wa ziada kwa zile Tairi...
wakuu najua hapa nimahali sahihi ambapo watu wanashauriwa na kupewa ufafanuzi wa matatizo ya vyombo vya moto .hivyo ingekuwa si vibaya sana kwa wale mafundi au wenye ujuzi katika sekta fulani...
Hiki ndiyo kizazi cha 3 cha VW touareg, cha kwanza kilikuwa 2002, cha pili kuanzia 2010 na sasa 3.
ukiangalia wameboresha sana hasa kiteknolojia!
Siyo tu Matairi ya mbele bali hata...