JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habarini wakuu ninagari nimenunua toka japani ina changamoto ya frequency kutokuwiana na za bongo.Mfano frequency za radio zinaanzia 76 mpaka 90 wakati za bongo nyingi zinaazia 80 mpaka 100...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Naomba leo niseme ukweli mchungu. "SPORT RIMS HAZIPENDEZESHI GARI HATA KIDOGO" Kumeibuka haka katabia ka kufunga sport rims hasa kwenye vigari pendwa vijulikanavuo kma baby walkers. Ila mbali na...
4 Reactions
36 Replies
12K Views
Wakuu naomba kujuzwa ipi kati ya gari zifuatazo nikiinunua sitojuta kwa kuzingatia fuel consumption, durability, availability of spares and the like: TOYOTA PASSO 990cc TOYOTA PORTE 1300cc...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wana JF?? Katika pita pita zangu kwenye mitandao hasa kwenye kuangalia zaidi magari, nimegundua kitu kimoja na kimekuwa kikinitatiza sana. Gari linakuwa limetengenezwa na kampuni moja...
3 Reactions
46 Replies
15K Views
Duka la spea za gari linakuwa hivi: Likiendelea kuwa hivi vibaka wa vioo vya magari hawataisha:
0 Reactions
2 Replies
7K Views
habar wana jamvi? naomba msaada wa ushauri wa kiufundi,nina gar toyota noah engine s3 inatatizo la kupunguza oil unapotembea umbali mrefu kuanzia km 300 hv,ndiyo utagundua hilo tatizo.Lakin kwa...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Wana janvi Naomba msaada nina MP3/mp4 nimeiweka sehem ambayo wengi wavuta sigara huwa wanatumia kuwashia sigara ile port, sasa nashindwa jinsi ya ku connect na radio ya ndani ya gari ili...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
habari wakuu nipo dodoma naomba msaada kwa wajuzi nina gari aina ya toyota noah ,kwa sasa diff yake imeanza kutoa mlio fulan ingawa sio mkubwa sasa naomba msaada wa ushaur nini chaweza kuwa...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kuna kitu nashndwaga kukielewa nimeitimu veta Udereva, Nina leseni , cheti cha form iv lakn nakutana na ichi kitu kwny matangazo ya ajira GRADE TEST GRADE I& II& III hii ikoje? Ni kozi gn...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tafadhali anaeifahamu subaru impreza 2008/2007 anisaidie kuijua mapungufu yake na uwezo wake...(uimara, matumizi ya mafuta na speed). Mimi nimeipenda kwasababu ya cc 1490 ila siifahamu kiundani...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba kuuliza hizi bei Ni kweli? Je utatibu wao Ni salama hauna utapeli?
1 Reactions
87 Replies
13K Views
Kama kichwa cha habari inavyosema, sina amani, ninamsubiri fundi aje anitengenezee, lakini kabla nilitaka kujua je shida itakuwa nini? Jana mshale wa joto kwenye gari langu ulikuwa juu kupita...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji kichagua kati ya gari zifuatazo, Honda CRV 98, Mitsubish Chariot ile mwanzo na Toyota Vista kizazi cha kwanza. Kama umewahi kumiliki ama unamfahamu mmiliki ambaye amekuwa akilalama au...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello guys! Nahitaji obd 2 mpya kwa anae jua wapi zinauzwa anielekeze au kama Mwanza zinapatakana itakuwa vizuri kurahisisha mahali nilipo na ukaribu wa kuipata.
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Wakuu kwema humu? Bila shaka jitihada za kupambana na maisha zinaendelea vizuri tukiwa tunasubiri kusherehekea sikukuu za Christmas na Mwaka Mpya naomba niwatakie sikukuu njema mapema wakuu...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari Nilipata ajali na gari ndogo aina ya Brevis sema injini haijaguswa ingawa show ya mbele imeharibia na airbag zote zimefumuka kioo kimearibika kabisa. je kuna uwezakano wa kurudisha gar...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu wanajamvi…. Usukaji wa umeme wa magari na usukaji umeme wa majumba na viwanda ni vitengo viwili katika fani ya umeme kwa maana nyingine naweza kusema kitengo chochote ambacho...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ndugu zangu naomba mnisaidie, gari yangu inazingua ikiwa katika hali ya kawaida taa ya 4 wheel inawaka katika dashboard na ukisema utie 4w taa inazima ila hapo gia unakuwa huzipati, nini tatizo...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Hello guys.. Toyota Allion inauzwa... In good conditions Number: D Cc: 1480 Ipo sinza Rangi: Silver Millage: 97,000 Tyre: Mpya Reem: sport Bei ni 8.7M mazungumzo yapo ila kidogo Mawasiliano:
2 Reactions
2 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza uchunguzi huru nilioufanya barabarani haswa katika jiji la dar es salaam nimebaini yafuatayo Ajali nyingi zinazotokea dar asilimia kubwa zinahusisha magari...
7 Reactions
48 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…