Ndugu wana jamvi naomba msaada kwa mtu mwenye experience na hio gari hapo juu atupe mrejesho. Nimeona ina cc 1300 na pia ina muonekano mzuri sana kwa vijana wa mjini. Sasa sijui uimara wake na...
Habari, nina tatizo please. My car radio imeandika Multi AV Stations then chini kuna kijapani. Naomba kusaidiwa namna ya kuitoa ili niendelee kupata radio stations na kuplay VCD, CD, SD n.k...
Wakuu nahitaji mwenye uzoefu wa gari zinazotengenezwa na kampuni ya HONDA especially hizi crossover SUV kama CR-V, ELEMENT etc
- Nahitaji kufahamu uimara wake kwa mikiki mikiki ya hapa bongo
-...
Wakuu asalaam aleykum!
Kuna hizi gari toyota raum kuwa na tatizo la kuwaka "alama ya pembetatu na mshangao ndani yake (red triangle sign)" kwenye dashbord.Mwanzoni nilidhani ni hii tu yangu ila...
Habari wana jf mimi ni Mtumish wa umma nahitaj Gari dogo mfano IST,RAUM,PREMIO ,ALLION liwe katika hali nzuriNk.
Kama kuna mwenye Gari tajwa hapo juu Na angependa kuniuzia Gari lake kwa...
Baada ya kuuza gari iliyokuwa inasumbua kupata spare gari za bara ulaya, sasa nafikiria kuchukua GX100 sababu ya confortability na engine, wese kwangu siyo issue sana. Ila napenda kupata maoni ya...
Je linafaa kwa matumizi binafsi kama gari zingine ndogo... rav4, carina, premio n.k ktk matumizi ya kuendea job!!
Nauliza
au lipo kwenye class ya commercial van..
mana lina feature zote...
ipi ni gari nzuri kununua kati ya TOYOTA AURIS na TOYOTA VOLTZ?? interms of gharama ya spare na upatikanaji wake,,ubora wa gari,,fuel consumption pamoja na bei
pia naomba msaada kwa anayefahamu...
Habali zenu wote muliofanikiwa kuumaliza mwaka ulioisha salama sasa tunakutana tena upya ktk mwaka huu mpya wandau kiukweli nimevutiwa sana Nagar hii nataman kulinunua kutokana na nuonekano wake...
Andika chochote ukijuacho kuhusu defensive driving.
Mimi naanza na hii;
1. Fanya ukaguzi wa gari kabla hujaanza safari yeyote.
2. Heshimu speed limit.
3. Ata kama ni haki yako kupita jiridhishe...
Wakuu habari zenu, nina kijisafari cha ghafla nataka kwenda Tanga kutokea Dar, naomba mnifahamishe vitu vifuatavyo Kwa wanaofahamu:
A) Mwendokasi wa Gari
B) Mafuta mpka Tanga Kwa Rav 4
C)...
Wadau heri ya xmass, Namshukuru Allah nakaribia kuumaliza mwaka 2017.
Tafadhalini mnisaidie oil nzuri kwa pikipiki, Last month nilinunua oil ya Total ilikuwa na namba ya total alafu chini yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.