JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Hapo nshabadilisha plugs,fuel pump,fuel filter,air cleaner,plug wires.no check engine light,gearbox mpya,exhaust system iko poa.lakin bado haina nguvu jaman,msaada pliz
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau mwenye ujuzi na Volkswagen -Tuareg V6 na BMW X5 atujuze kidogo
0 Reactions
37 Replies
11K Views
Wakuu heri ya mwaka mpya! Kausafiri kangu haka. ..automatic gear sasa kwa mwezi mmoja nikuweke rivasi gea hakatoi mlio....tatizo litakuwa ni nini?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
NJIA 10 ZA KUPUNGUZA MATUMIZI YA MAFUTA KWENYE GARI LAKO 1. Hakikisha kuwa unalifanyia gari lako service kwa wakati muafaka.usisubiri mpaka gari ipate tatizo kabisa ndo ubadilishe kifaa...
28 Reactions
50 Replies
29K Views
Habari wakuu, Naombeni mnipe ufahamu wa gharama za ziada baada ya CIF na ushuru wa TRA mara gari inapowasili bandari ya Dar es Salaam.
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau. kwa anaefahamu magari naomba ushauri nina mil 25 nahitaji gari ndogo ya kutembelea. Ni gari ipi nzuri kati ya rav4, kruger na harrier. msaada wenu tafadhali!
1 Reactions
28 Replies
13K Views
Habari wa JF. Heri ya mwaka mpya. Kuuliza sio ujinga wakuu tena kwenu wana JF heshima kwenu. Kwa wale wajuzi wa magari na wafuatiliaji wa magari ningepanda kufahamu wanaposema hii gari ni ya...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
EDR stands for Events Data Recordings,an instrument that records each event in motor vehicle.Normally useful in case of accident.It records steering angles,wheel rotation,Rotation per...
0 Reactions
0 Replies
465 Views
Wakuu salama! Kuna hizi tairi nyembamba na kikanyagio kipana "LOW PROFILE" ambazo nyingi naziona zinafungwa kwenye SPORT RIMS na magari kama alteza, verossa n.k. Hizi tairi ni rafiki na zinadumu...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari ndugu. Naomba ufafanuzi kwa wale wanaozijua Prado TX 3rz engine. Ulaji wa mafuta town trip liter 1 inatembea KM ngapi na kwa safari ndefu nje ya mjini Liter moja inatembea KM ngapi...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Nikitaka kununua gari, je ili niwe salama kwa habari ya umiliki wa gari nililonunua kwa mtu ni mambo gani ya lazima kuyafanya kwanza kabla ya kuitumia barabarani yanayohalalisha umiliki wangu?
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Habari wanabodi, gari langu limekuwa na tatizo la kuwaka taa ya oil, na inawaka na kuzima yaani kuna muda inablink na kuna muda inazima sijui tatizo ni nini, naomba msaada wa maelezo.
1 Reactions
15 Replies
10K Views
CAR AIR CONDITIONING : DANGEROUS - must read!!!! No wonder more folks are dying from cancer than ever before. We wonder where this stuff comes from, but here is an example that explains a lot of...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa, naombeni ushauri kuhusu utumiaji wa mafuta kati ya gx11o na harrier ila zote zimetumika hapa tanzania
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwanza salute kwa wote mliotangulia, wakubwa kwa wadogo... swali langu ni hili, katika uendeshaji wangu wa gari from beginning huwa ninaendesha peku, ninamaana ya mguu unaokanyaga kwenye...
5 Reactions
80 Replies
12K Views
Habari wakuu, kuna mtu kapiga mzinga mdogo kipind hiki cha sikuku, na kupasua rejeta. So mwenye nayo ani pm bei nimuunganushe naye.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za mchana. Nina pikipiki yangu Aina ya Piaggio, model ni Gilera runner SP malossi, two stroke engine CC 180. Hii pikipiki inatumia fuel pump na oil pump, zinatumika sana kwa ajili ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nisaidieni kujuwa tofauti ya ulaji wa mafuta wa engine za 3s na zile za Vvti? Mfano ulaji wa mafuta wa RAV4 yenye 3s na ile yenye engine ya vvti?
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Za jioni wakuu naomba mtu mwenye taa ya mbele upande wa kushoto used anipatie kwa bei poa ya kwangu niliipasua bahati mbaya
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Niko na shida sana nahitaji msaada wenu hili gari lina mauza uza balaa. Nikiwa njiani kuelekea kazini nilistukia ghafula gari linaunguruma tu nikikanyaga moto linaunguruma...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom