Habari wakuu
Nahitaji kujua katika hizi gari aina ya Brevis, engine zake zote ni VVTI au kuna baadhi ya engine sio VVTI...na ukiwa na brevis VVTI ulaji wake wa mafuta ni sawa na brevis ya kawaida...
habari wadau,
naomba kujuzwa juu ya ununuzi wa tairi zilizotumika,
ni vitu gan unatakiwa kuzingatia unapotaka kununua tairi used kama saizi 13, kwa gari ndogo,
aidha, nmeona used tairi linauzwa...
ndugu wanajamii
Mimi namiliki pikipiki ambayo hivi sasa ina miaka mitatu...
nilifanya kosa kutembea na kadi original pasi kuwa na kopi.
Leo wakati naifanyia usafi ,nikagundua kuwa kimkoba...
Habari zenu wanajukwaa, Naombeni mnipe ujuzi wenu kama ninaibiwa mafuta ya gari?, Kuna kituo kimoja cha mafuta kila nikienda kuweka mafuta hapa Mbeya kila nilipokua nikienda kutia wese nakuta...
habari zenu wana jamii forum.
naomba kupata ushauri kutoka kwenu kama kuna substute (mbadala) engine ya Pajero GDI.
Bodi ya gari hizi ni nzuri na imara so i need to change engine only. pia naomba...
Passo yangu ina shida nimempelekea fundi naona anazingua tu kila akisema hiki tunabadili lakin tatizo linakua liko pale pale,tatizo lenyewe ni kwamba hii gari haichanganyi yani nikikanyaga moto...
Husika na kichwa cha habari gari aina ya toyota oppa d4.
Tatizo:leo kama kawaida nimeamka asubuhi nikaiwasha ikakubali baada ya hapo nikaiacha on nikaenda kufungua bonet kuangalia engine oil na...
Wakuu nina gari yangu ni Rav 4 kill time
Since nimefunga alarm, nikiwasha taa full Gari linazimika
Je itakuwa ni ishu ya Alam au ni tatizo lingine tu?
Thank you in advance
wadau kuna kaubishi kapo hapa kijiweni kwetu kuhusu efficiency ya haya magari especially mabasi. Ubishi ume-base sana kwenye
1) speed ya mabasi, wengi wanaSema yutong ni funiko kuliko scania na...
Wadau wa JF,
Nahitaji kusomea udereva wa hayo mavitu tajwa hapo juu, hebu nipeni maneno mawaili matatu niende wapi na utaratibu uko vipi, na muda wa kusoma mpaka nimalize hiyo course na kupata...
Wakuu habari zenu?
Siku zote nayaonaga Leo nimeamua niulize gari lina vioo tintedi yaani uwezi kumuona mtu wa ndani full black.
Swali langu hivi kwenye sight mirror dereva anaonaje kama nyuma...
Nahitaji tvs king, pikipiki iliyonyooka, body safi, low mileage, na iliyokuwa inatumika for personal use or office sio bodaboda.
Offer yangu ni 1m.
NB: tunaweza negotiate according na conditions...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.