JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Si tofauti ya viwanda vilivyotengenezwa izi gari,. nauliza tofauti za kiutendaji, technicaly and mechnicaly mfano engine inayokunywa mafuta zaidi, yenye kasi zaidi, ipi ambayo iko salama...
1 Reactions
19 Replies
8K Views
Habari wapendwa napenda kununua gari carina si Naomba kujua vizuri na sifa za ziada ya gari ilo nataka kuifanya tax kagera Ahsante
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Kama utangulizi hapo juu unavyojieleza, natafuta mswaki wa Toyota Spacio old Model, ni vizuri nikipata na range za bei. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wasalaam geeks! Mie bwana ni mgeni kidogo kwenye hizi mambo,niliweka template hizi zinazosupoort ads kwenye blog yangu ila imekuja na maneno flani ya kifaransa nimehangaika kuyatoa nimeshindwa.ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jukwaa naombeni msaada nina kausafiri kangu bhana ghafla kameanza kunitia hasara kwa ulaji wa mafuta usio wa kawaida... Ni TOYOTA CAMI with 1.3 ltr petrol engine hapo mwanzo ilikuwa...
2 Reactions
21 Replies
6K Views
Habarini wakuu, hapa nimekuja kwa fundi umeme kwajili ya matengenezo ya switch za mlangoni za vioo ila simuelewi nikaona niwashirikishe, naombeni msaada wa kimawazo , nimekutana na changamoto ya...
0 Reactions
15 Replies
13K Views
Hi hapa home kuna basi limeungua miaka mingi iliyopita limekuwa kichaka cha wagegedanaji usiku mwenyewe hakurudi tangu liungue. Je vitu gani ambavyo vinaweza kutengenezeka baada ya gari kushika...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Wapendwa naomba kuuliza naweza pata wapi ingine ya premio old model 7A na kwa bei gani?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Naomba mwenye kujua kuhusu gari imara na inayotumia mafuta kidogo especially used from Japan, pia ni vitu gani vya msingi napaswa kujua kabla sijamiliki gari? Ahsanteni
1 Reactions
41 Replies
22K Views
Salaam wakuu naona uzi upo mahala pake , kama kichwa kinavyosema. Hivi karibuni ninampango wa kumpeleka mtu showroom kununua gari ya kazi ila yeye kapendelea kununua Mitsubishi fuso sasa nilikuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, nnaulizia ni brand gan nzuri ya mashine ya kujaza upepo matairi maarufu kama compressor, kwa zinazotumia mafuta ya petrol nnataka kufungua kijiwe cha pancha.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naomba kufahamu haya yafuatayo, 1. Kiasi cha upepo kinachofaa kuwekwa kwenye tyre za mbele na nyuma ( naongelea hzi gari zetu za kawaida siyo malori) 2. Mara ngapi unatakiwa kucheki kiasi cha...
3 Reactions
21 Replies
16K Views
Toyota Stout First Generation Production 1954-1960 Toyota Stout Second Generation Production 1960-1978 Toyota Stout Third Generation Production 1979-1989
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naomba ushauri. Je Gearbox ya GX110 inaweza fanya kazi kwenye gari ya VVTI HIACE injini yake ni 1TR. Mwenye uzoefu na mambo haya naomba majibu.
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji mojawapo ya gari hapo juu ila kwa Altezza nimeweka masharti kidogo na bajeti yangu mwisho kabisa kwa hizo gari mbili isizidi mil.7 ila kwa Altezza naweka Mil.5-6 Karibuni Pm kwa...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
Kama kichwa kinavyosema.gari yangu ni Suzuki escudo tatizo kubwa la gari yangu ni shoti za Mara kwa Mara upande wa Betri kwenye positive teminol hadi inafikia muda inatoa moto kabisa nakama...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Asalam. Wadau Mie ninashida ya kubadilisha vifaa kama vile bush, shock up Na vinginevyo ikiwemo pia Ndani vikiwemo urembo na seat cover bila kusahau manukato fresh. Mahitaji yangu sitaki kwenda...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Wadau kwema, naomba kujua ni vifaa gani muhimu wakati wa kufungua biashara ya garage! Namaanisha tools and eqpmnt
1 Reactions
8 Replies
8K Views
Wadau kwema?! Km title inavyojieleza kuna mzee amestaafu anatak nimp hela kidogo aniachie corola 90 yake....vp kwa wenye uzoefu na hiv vigar vinaendesheka?!
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Msaad gari yangu aina ya premio old model huwa inanipa shida sana kuwa asubuhi mpaka inanilazimu nikanyage moto kidogo kwa muda fulani ndo inakubali kuondoka naomba ambae alishawai kukutana na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom