Hbr, wa ndugu,
wap naweza pata tyre inflator portable( pump ya kuongezea upepo tair) ambayo unaweza uka-connect kwenye terminal za gar afu ukaswitch on afu ukajaza upepo. Mfano wa picha down.
Naomba msaada wa toyota nadia, inakunywa sana mafuta, inakuwa mzito kuondoka na kuchanganya na inachelewa kubadili gear, pia ukiweka gear ya kuondoka huwa kama inajikita kidogo na pia ukiipiga...
Salaam ndugu zangu. Nipo safarini katikati ya Iringa Dodoma.Nacheck dush board yangu naona gari inachemsha.Labda kuna shida ya regetor.Maji yamekauka kabisa na mm sina maji.
Wataalam wazoefu...
Wakuu,ninahitaji kuagiza Toyota Spacio ya Cc 1500 mwezi ujao.
Ninaomba kujua yafuatayo kuhusu gari husika.
1. Fuel Consumption yake ikoje? inakula sana au kidogo?
2. Itaweza kuhimili...
Habari wakuu,
Nina mpango wa kuchukua chombo na interest ya yangu ni kwa hizo tajwa hapo juu. Forester ya 2007+ , escudo new model 2007+ na hiyo nissan dualis. Naombeni kupata ushauri wenu in...
Wadau nisaidieni gari yangu inakuwa nzito ikitaka kubadilisha gia yaani kama inajifunga break kiaina.
Jambo la pili ukitaka kuingiza gia inashtuka inatoa sauti (Tuk) sasa sijaelewa nini shida...
Wanajamvi nataka vuta ndinga lakini ninapenda kuwa na gari inayonisaidia mishe yangu ya hapa na pale namaanisha ninayoweza imudu ningependa kujua mambo yafuatayo
1)utumiaji wa mafuta ukoje yaani...
Habari wana JF, nina MAZDA PREMACY ya 2001 shock up zake zimeisha, nipo Mbeya na nimetafuta huku hamna, nikauliza baadhi ya watu Dar nikaambiwa hazipatikani. Please naomba msaada km kuna mtu...
Habali wana jf na mafundi mliopo humu ndani.me nimwanafunz mwaka wakwanza nipo garage tandale nlikua naomba wajuzii wa haya mambo anisaidie kuanza na charge system gali ndogo :
Wakuu habari za leo. Nimeibiwa sight mirrors za gari Nissan Xtrail DBA NT 31 ni hizi za toleo la pili. Gari ni ya 2008. Naomba kama kuna mtu anauza used spare za hizo mirrors tuwasiliane.
Habari Wakuu, kuna Gari ya Best yangu ina tatizo moja... Ni kwamba ile Gari ukiweka maji katika Rejeta ((samahani kwa kuandika kama inavyotamkwa)) alafu ukiiwasha Maji yanaruka kutoka katika...
Habari za jioni mabibj na mabwana. Nakuja kwenu kwalengo lakupokea ushauri. Nilitaka kujua kwayeyote mwenye uelewa na gari aina ya TOYOTA NOAH new model. (1)Bei yakununua mikononi mwa MTU inaweza...
Wadau ninaomba kufahamu ubora na uimara wa injini za Noah new model pamoja na mfumo utengenezaji yaani kufanya service ni changamoto zipi utakumbana nazo. Uimara wa bodi lake. Nitashukuru
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.