JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu, Naomba kujua kuhusu UIMARA na ULAJI MAFUTA wa Spacio yenye cc 1790 ambayo ni Four Wheel Drive. Naomba kujua Ubora na Udhaifu wake ukilinganisha na ile Spacio yenye cc 1490 ambayo ni 2WD...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Naomba Msaada. Nina NISSAN AXIX/XTRAIL 2005 NT30. ODO 120,000 Kwa sasa, baada ya maatumizi ya Miaka 2. Lilianza kushindwa kupanda muinuko, kuna fundi akashauri tuondoe Muffler - Kuna kifaa fulani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna gps tracker za kufungwa kwny gari tatu Location: DODOMA MJINI 0718912699 ( call & Whatsapp chat )
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar ya jioni jf members,leo nimefanya diagnostic ya gari yangu na majibu ilikuwa kama inavyoonekana hapo kwenye picha,naomba mwenye uzoefu anipe ushauri wa nini cha kufanya ili niweze kuondokana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi, natumaini mnaendelea na majukum ya hapa na pale ili kuijenga Tanzania yetu ya viwanda. Hapa kuna jambo linanisikitisha sana kuhusu hizi basi za mwendo kasi mimi mkazi wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika pitapita wadau apa mjini nimeona kitu fulani cha tofauti kidogo kwa wakazi wa Dar. Yani ukikaa foleni kila baada ya gari moja au mbili inafata toyota IST. Hivi hili ongezeko la hizi gari...
1 Reactions
74 Replies
25K Views
Hongereni kwa majukumu ya kulijenga Taifa. Naomba mwenye uzoefu na mwenye kuifahamu gari aina ya Toyota ISIS anisaidie kufahamu uzuri wake na ubaya wake pia. Binafsi naipenda kwa muonekano wake...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
habari wana bodi hapa kati ya gari tajwa hapo juu ipi nzuri kuanzia vipuli, ulaj wa mafuta, uimara wa body izingatiwe mimi naishi sehemu ambayo asilimia kubwa ni barabara ya vumbi. naombeni...
0 Reactions
35 Replies
11K Views
habari, Nina tumia gari ndogo, aina ya toyota starlet, gari imekua nzito sanaa, hvyo kufanya isiwe na mwendo wa kasi, nilipeleka kwa fundi akatengeneza ila tatzo halikupona, nikarudisha tena...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenyu wadau, kuna hii teknolojia ya 'kuripea' kioo cha gari kilichopata ufa(nyufa) nimeiona youtube. Yaani kuna repair kit fulani unaitumia ambayo inaziba ufa ambao upo kwenye kioo chako...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nina gari ndogo, katika upande wa air condition ya gari, kuna button mbili, moja imeandikwa A/C na nyingine Eco A/C, je kuna yofauti gan kat ya hzo mbili ktk matumizi..
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Guys noamba msaada wa Costa zile za kwenda mbeya jioni huwa zinapakiwa wapi?
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Ina maanisha hilo tairi limetengenezwa wiki ya 26 mwaka 2013 code ikiwa 4109 = ina maana tairi limetengenezwa wiki ya 41 mwaka 2009 code ikiwa 1001 =ina maana tairi limetengenezwa wiki ya 10...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama inavyojieleza hapo juu, bajeti ni 7.5, mwenye nayo tuwasiliane tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Hv kati ya gar hzi mbili. Ipi n gari imara na nzuri kutumia...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Wadau naombeni maoni yenu na ushauri pia. Ni msafiri wa almost 600km kila weekend, na trip ndefu za 1000+km ocassionally. (Twice/thrice per year. Saasa kuna mvutano kidogo wa uchaguzi kati ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nataka Kununu Mark II Grande 110 Je Kwa Wazoefu Waliowahi Kutumia Hizi Gari Zipo Vizuri? Vp Ulaji Wa Mafuta Na Inapokua Barabarani Inatulia? Maana Mimi Mtu Wa Masafa Sana,,vp Kama Nikiamua Kuiuza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaam wakuu! Poleni kwa kupost issue ya gari hapa. Strainer/ chujio ya Gear Box ya Subaru Forester (Auto) inapatikana wapi kwa nyanda za kaskazini? Nipo Arusha.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Gari aina ya Isuzu trooper,shida yake ni kwenye kuwaka inachlewa sana au saa zingine ina kataa kabisa hadi isukumwe, shida itakuwa nini kama service nimefanya lakini tatizo bado liko pale pale...
0 Reactions
4 Replies
768 Views
Back
Top Bottom