JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
naombeni msaada je inakua on inapodisplay kwenye dashbord au wakati haidisplay?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Members wamiliki, watumiaji, watarajiwa kwa hizi gari aina ya MAZDA Demio Tukutane hapa kubadilishana uzoefu, changamoto , Uboreshaji, mafundi na garage nzuri , namna ya upatikanaji...
0 Reactions
33 Replies
13K Views
Wakuu, naombeni kuuliza ... ni gari gani mzuri aina ya Toyota kwa kuwa nayo hapa mjini na ambayo ipo very economy na isiyo zaidi ya M13 shilings ???
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimeifanyia overhall gari langu lakini tatizo la kunywa sana mafuta kupitiliza bado lipo palepale ... Toyota Rav4 1999 1998cc Sababu ya kufanya overhaul lilikuwa linaunguza sana oil...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Guys naombeni msaada kwa anaeweza kujua how many airlines fly to east africa na company names(na under the country) Na flight models Help guys....
0 Reactions
4 Replies
899 Views
nauliza kama kuna starlet ya milion 2 naweza pata
3 Reactions
3 Replies
621 Views
Tunatafuta pesa ili zituhudumie na kuwasaidia wengine. kwenye ulimwengu wa usafiri nimegundua kila mtu anatamani Mungu akimuwezesha anatamani awe na aina flani ya gari, ingawa wengine tayari...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
TUMIA DISCOUNT CODES HIZI (SEHEMU ILIYOANDIKWA BFS CODES) KUPATA PUNGUZO BE FORWARD KWA MAGARI YOTE.
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau heshima kwenu, Naomba kuuliza kama kuna mtu aliwahi kununua gari ronimotors thailand nataka kununua pick up double cabin. Sasa hawa jamaa siwafahamu na bei ya pickup imenona kidgo nisije...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
C
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana jf... Jaman nahitaji msaada, Nina lorry langu nimenunua mwezi uliopita yan used car[Mitsubishi] kutoka Japan. Baada ya kununua nikaamua kuongeza urefu was trailer na...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Hii ni kwaTanzania! Mafuso mengi barabarani yakuwaga na mataa mengi mengi tofauti tofauti juu na chini na katika kila pembe! Hasa usiku. Fuso inakuja utafikiri ukumbi wa harusi! Mataa mpaka...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
A.C KATIKA GARI IMEUNDWA NA VIFAA KADHAA AMBAVYO VYOTE KWA PAMOJA UFANYA KAZI YA UZALISHAJI WA BARIDI KATIKA GARI 1.A.C COMPRESSOR Kifaa hiki kinatumika katika ufuaji wa ubaridi katika A.C...
7 Reactions
21 Replies
9K Views
habari zenu wakuu , kama kichwa cha habari hapo juu natafuta giabox ya suzuki kei nimehangaika sana maduka ya dar lakini skubahatika .mwenye kujua zaid wapi nitapata nomamba anipe mwanga kidogo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Niko bariadi na mafundi wa huku si wazuri sana naomba kujua tatizo ni nini haswa kupitia kwenye mitandao nilikuja kugundua kuwa oxygen sensor iliyopo kwenye exsoz ilikuwa disconnected na nahisi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Samahann wakuu hivi ni coz gani nzr ambayo humfaa mtu ambaye wastan wake wa form 4 kapa division 3 na Ana F ya mathe C ya chemia C ya biology D ya geography D ya history C ya kiswahili D ya...
0 Reactions
13 Replies
18K Views
IWAPO GARI IMEKUTWA NA TAIRI MBOVU, GIA ZISIZOFANYA KAZI VIZURI, BREKI ZISIZO MADHUBUTI, TAA HAZIWAKI NA BODI LIMECHAKAA, JE HAYA NI MAKOSA MATANO (5) TOFAUTI, KIASI KWAMBA ANATAKIWA KULIPA...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam wakuu, nimeshawishika kununua gari (kuagiza) kwa kutumia huu mtandao wa BE FORWARD, Kinachonishangaza ni bei zao wanazoandika mtandaoni, waweza kuta $1500 unapata IST au VITZ nzuri kabisa...
3 Reactions
80 Replies
23K Views
Na tafuta engine, RAV4 3S, ukipatikana pamoja na GEARBOX yake, inakuwa muzuri sana.
0 Reactions
3 Replies
760 Views
Habari zenu wakuu...hizi gari mbili nazipenda sana na bei zake kidogo zinaendana,,naombeni watalaam mniambie nichukue ipi kati ya allion au premio?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom