JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habarini wananambia, Kuna uhusiano wowote Kati ya exhaust system na utumiaji wa mafuta katika gari? Nikiimaanisha exhaust ikiziba na utumiaji mafuta WA gari unaongezeka? Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naonbeni msaada viongozi ... hii gari jana imetokea tu ghafla na kuanza kubugia mafuta balaa ... na hiyo hiyo jana ilikuwa engine inavujisha oil ndio tukafungua oil seal na kubadili ... sasa hili...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wadau, anayeweza kunisaidia nikapata stika ya 'nenda kwa usalama barabarani' chapchap aniPM.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Msaada jamani, anayejua Size Tyres ya Landrover Freelende, TD4 , vile vii Landrover vidogo.anipe majibu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za kazi wakuu mbalimbali, naomba kuelekezwa inapopatikana jeep authorized workshop hapa Dar es salaam. Ni hayo tu niwatakieni kazi njema
0 Reactions
3 Replies
1K Views
K9 Bandugu
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu wasalaam! Ninaombeni ushauri, nina gari Rav4 kill time, engen yake naambiwa ni ile kubwa inanisumbua kwa kutetemeka na kunguruma sana. pia inanishinda kwa inavyokula petroli kulingana na...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari wana Jamiiforums, Kuna buttton (tazama picha chini nimeizungushia rangi nyekundu), je button hii ina kazi gani kwenye gari?
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa wale wanaoagiza magari kupitia be forward Japan kuna sehemu imeandikwa Discount code, please ingiza hizo hapo chini unapata discount hapo hapo kwenye system kabla hujaanza kufanya burgaining!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi kwa yeyote anayefahamu bei ya gearbox ya rav4-3s tujuzane ikiwa peke yake na ikiwa complete pamoja na engine.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Nothing Serious S1 Ep 1 _ Nothing serious Inahusiana Na vitu flani flani vya harakati za vijana. kijana yoyote yule mchapa kazi atakuwa anaweza kuomba kuonana nasi tukafika mahali pake pa kazi...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Wakuu natanguliza heshima kwenu Naomba kujuzwa ni vitu gani napaswa kununua pindi nitakapo kui overhaul gari aina ya TOYOTA NOAH OLD MODEL SR40
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Guys I want to buy a car by next month or October nina budget ya 23mil which car should I go for between those three? Pls ushauri which is the best car kulingana na hali ya uchumi ya sasa. Kwa...
2 Reactions
24 Replies
10K Views
Salaam wakuu,mwenye uzoefu wa hii Gari naomba anipe maelezo juu ya uimara na ulaji wa mafuta wa Toyota Wish. Shukran.
1 Reactions
12 Replies
12K Views
Bwana Allan Swift raia wa Marekani aliyekuwa akiishi huko Massachusetts alizaliwa mwaka 1908 ma kufariki mwaka 2010, alimiliki na kuendesha gai moja kwa miaka 82. Bwana Allan alipewa gari aina...
12 Reactions
41 Replies
5K Views
Iyo alama c ni ya kazi gani Source:fb Note:sio kwamba sijui ila nawachallenge
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari yenu wanajamvi. Nina mpango wa kudunduliza kahela kangu ili nimiliki daladala. Nina target kuiweka dar. Najua daladala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu ni uzi wa pili kuleta humu kuhusu hii gari, kiukweli nimevutiwa nayo kuna jamaa yangu aliibahatisha used anayo mwaka wa nne sasa haijamsumbua na inatumika kila siku kama tax, Naomba mwenye...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
habarini wadau hapa JF naomba ushauri kwenye hizo gari tajwa hapo juu yaani what is the best kwa vigezo vifuatavyo 1:uimara yaani durabillity 2:kuaminika na uhakika yaani reliabillity...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Naamini hapa JamiiForums kuna wataalam wa magari Na wabobezi mlio bobea. Niko UK kwa Malkia Na nimehitimu vyema masomo yangu. Nataka kurudi January nchini Na nataka nirudi Na Usafiri wangu wa...
5 Reactions
166 Replies
33K Views
Back
Top Bottom