JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Niliulizia hapa jukwaani bei ya Rosa wiki tatu sasa zimepita, nashukuru nimeipata, leo naomba niulizie bei ya Noah Kwa kununulia yard za Dar
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Nina nissan x trail ilyopta ajali na body ya mble kuharbika kabsa. Natafta body nyingne niamishe engine, gear box na matair.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wataalam naombe mnijuze ni kwann Suzuki carry yenye cc650 inatumia Lita 1kwa km14-16 , wakati huohuo ist yenye engine cc1500+ inatumia petrol Lita 1 kwa km 19-20?. Mwanzo nilivyojua mm ni kwamba...
1 Reactions
22 Replies
10K Views
Salam, Kumekuwa na hii ya askari wa usalama barabarani kusimamisha gari kwa ajili ya ukaguzi na kumvizia driver akiwa hajazima gari na kuchomoa ufunguo wa gari ya aina ya Mitsubishi hasa Canter...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
wakuu, kama kichwa cha habaru kinavyoonyesha. ipi kati ya hizi gari ni bora kuliko zingine in terms of ulaji mafuta, spare parts and durability. thanks.
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Wakuuu naombeni kujua ipi gari imara kati ya toyota wish na allex
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Habarini, Nahitaji ushauri juu ya gari BMW X3 kwa waliowahi kuitumia au wenye marafiki wanaoitumia ili mwisho huu wa mwaka niweze kutimiza ndoto zangu baada ya kutekeleza ushauri mwanana wa rais...
4 Reactions
6 Replies
8K Views
Salamu kwa wote. Nimeingia katika mitandao maarufu ya kununulia magari toka nje kama bforward na sbtjapan. lengo langu ilikua kuangalia bei ya gari kubwa kama Scania lakini sijaona magari hayo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Samahani ndugu zangu m naomben mnisaidie kupata details za chuo cha veta chenye elimu ya ufundi wa umeme katika upande wa magari
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari za humu ndani, Kwa yeyote mwenye uzoefu kuhusu gari vipi ubora na spare parts za Nissan X-trail.I mean durability and availability of spare parts za hizi gari kwa ambaye ana uzoefu nazo...
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Ni gari gani inaongoza kwa ulaji mdogo wa mafuta kati ya hizi zifuatazo..? Ist cc 1300. pajero min cc 660. Terios kid cc 660. Suzuki jumny cc 660. Toyota Alex cc 1500.
1 Reactions
13 Replies
8K Views
Bandugu amani na iwe nanyi, Ninaomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Passo Ninatarajia kununua gari dogo kwa ajili ya safari fupi fupi, kuendea sokoni na kanisani, kwa makadirio weekly inaweza...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Wadau mwa jf ninaomba kujua tofauti ya injini hizo hapo juu. Uimara wake, durability na performance kwa ujumla katika maeneo ya vijijini
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalam wa pikipik..kuna pikpik boxer toleo jipya nauliza kama kuna mdau humu ndani kaitumia vp ubora wake..naitaman sana
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Hello Gentleman and ladies, Natafuta Gari tajwa hapo juu .Hata kama umelipark uani halitembei kabisa . Au kama unajua mtu taasisi , shirika, dayosis,NGOS wanalo ambalo wanataka kuuza tuwasiliane...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello my buddies ,naomba kuuliza ushuru kwa hizi scania tipper mende ushuru wake ni milion ngapi wakuu. Mpaka ifike hapa Mombasa port ni milion 40.
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Habari, Naomba kuuliza Je,ni kweli wakati gari Toyota wish unapokuwa kwenye mteremko na ukaweka Neutral inakuwa NO FUEL CONSUMPTIONS kwa muda ule gari inatembea ikiwa kwenye neutral?? Je ni...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Wadau nahitaji ABS motor ya Nadia mwenye nayo please anicheck pm
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Habari wanabodi Hapa Tanzania kuna kampuni ya bima inatoa cover ya mwezi mmoja?
0 Reactions
22 Replies
5K Views
KaribuAutoservices located at Mwananyamala Ni garage inayojishughulisha na 1.Car body works mfano.kunyoosha na kupiga rangi sehemu iliyopata hitilafu ama gari nzima.. 2.Mechanical...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…