JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wadau, poleni na majukumu! Naomba mnipe ushauri murua kabisa kulingana na uzoefu wenu uliotukuka kuhusu magari. Mimi nataka kuagiza gari direct kutoka japani (sitaki kununulia yard za hapa Dar...
0 Reactions
12 Replies
11K Views
Wadau, mi naomba kuuliza. Nimekuwa nikiona mara nyingi sana mtu akitaka kununua gari ambayo ni used cha kwanza mtu huuliza eti...ni namba gani? Yaani akimaanisha Inaanza na A, B, aw D kwa...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Kuna muundo aina tofauti - tofauti wa magari kwa sasa, unawezaje kua na yhakika kwamba, gari unalonunua litaweza kukidhi mahitaji yako? After all, gari unalolipenda leo, waweza usilipende tena...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Mwenye swali au maswali kuhusu Magari ,kuanzia mifumo yote SUSPENSION SYSTEM,COOLING SYSTEM,BRAKE SYSTEM,STEARING SYSTEM ,ENGINE Uliza hapa ujibiwe Sensor ya vvti kazi yake nini Sent using...
2 Reactions
136 Replies
29K Views
Hamjambo Wote WanaJamii, Kama wengi wenu mjuavyo, magari na mitambo ya kisasa ina husisha mfumo wa diagnosis katika sehemu mbali mbali. Wamiliki wa magari na madereva bila shaka sio wageni na...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Naweza kupata kipande cha mbele cha toyota mark2 gx110 yan kuanzia kwwnye kioo cha mbele mpaka show yote ya mbele coz ilipata ajali haifai kurekebishwa maana airbag zote zimetoka.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wanajanvi. Naomben msaada kuhusu Subaru impreza Kwa maana ya upatikanaji WA vifaa vyake, utumiaji wa mafuta, stability yake barabarani na Kwa ujumla ubora wake. Ni gari ambayo nimeiona...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
The U.S. Military Has One Super Plane That Could Crush North Korea The U.S. Military Has One Super Plane That Could Crush North Korea Hayo ni baadhi ya mandege makubwa yenye uwezo wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau ninauza toyota wish iko vyema katika ubora wa upya..haijapata kash kash yeyote tokea inafika zaidi ya service tu.. Iko Njombe.. Ukifika nikuwasha na kuondoka tyre mpya rim sport.. NJOO PM...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wadau nikiganyaga break ,break paddle inatetema.je hilo ni tatizo gani?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalamu naomba msaada wa kujua ni ainagani ya Gari difu yake unaweza ingiliana na Noah old model? Maana nilichojifunza difu Noah nitatizo linalotusumbua wengi ukilinganisha na magari mengine...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Msaada wadau gari yangu aina ya Premio old model imekuwa ikiwasha taa ya engine check nimepeleka kwa mafundi tatizo haliishi tatizo lenyewe ni gari kumis na kutokuwa na nguvu unapopanda mlima...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Najua tunapenda magari mazuri na mapya ila hatuna uwezo wakuyanunua hayo magari mapya! Brand New tuna uwezo wa kununua tunaishia Befoward,SBT,etc "SECOND HAND" Tujadili hapa je uliponunua ulikuta...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Gari yangu ni Altezza inavuja injini oil sana.Je hili tatizo linaweza kupona kabisa? Kama ndivyo wapi wapi ninaweza kupata utatuzi niko Dar. Asanten sana.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Msaada wajamen,nataka kuagiza gari,nimeshalichagua katika kampuni ya BE FORWARD, katika kuperuzi nimeona mahala wameandika "3people are inquiring this vehicle" msaada kwa mliowahi kuagiza magari...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu nataka kununua Nissan x-trail ila sina uzoefu na gari hizi, naomba mwenye uzoefu nazo anipe ABC zake, je nini matatizo makubwa hasa ya gari hizi? consumption yake ya mafuta ikoje?
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Habari, Husika na kichwa hapo juu, Kwa yoyote anae hitaji pikipiki, Bei ni Laki 9 na Nusu, Tafadhari tuwassiliane kwa namba ifuhatayo +44 7452 925919, Sanmahani sijajua jinsi ya ku upload picha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Km kichwa knavyojieleza. Ni vyema tusaidiane katika nyanja hii. Hapa tunahitaji ushaur maoni au Hata mwongozo. Mm naanza na kozi ya VIP mnaionaje wadau..
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Nawatafuta watu wenye uelewa, watu ambao ni siriaz kwenye hili... watu wenye passion ktk shauri. Hodi tena wana jamvi, naamini kabisa kuwa hapa ni jungu kuu... hapakosi makoko.. Nianzie hapa kaka...
1 Reactions
64 Replies
13K Views
Mods kama mtaona vyema naomba ibaki hapa, ni mada inayojitegemea kabisa. Naomba wataalamu wa Magari waje hapa tujadiliane jambo hili, unapo"fufua" gari unakua umeokoa gharama au umeongeza...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Back
Top Bottom