Habari wakuu,
Samahani, nahitaji kununua touareg ya petrol naomba msaada kwa wenye uzoefu nazo kujua uimara wake, upatikanaji wa spare, utengenezaji wake, uwepo wa mafundi na mengine mengi...
habari
nina kagari kangu 'TOYOTA CAMI' naona kananisumbua Gear box, tafadhari naomba mwenye mawasiliano ya mafundi wazuri wa gearbox, au garage nzuri anisaidie,
Napatikana Dar es Salaam
Wakuu mnaomiliki au ambao mmewahi kutumia hayo magari lipi la ukweli kwa mizunguko ya hapa mjini?
In terms of:
1.Status/Pride
2. Fuel consumption,
3. Servicing cost
4. Spare parts reliability
5...
Salute ,naitaji control box ya jeep popote ilipo naifata,iliopo imegoma kufanya kazi,naitaji haraka iwezekanavyo,gari ni jeep grand chorokee mwaka 1996 petrol 4.0ltr, lkn pia kama kuna mtu anaweza...
Habarini wana jamvi nna shida na gari japokua bajeti yangu kidogo ni ya mashaka mkuu mshana jr na RRONDO naomba mnisaidie maana nmeona kidogo nyie mna ideas na magari...gari zenyewe ni spacio au...
Wanandugu naomba msaada nini hasa kinapelekea gari kuwa na mis. Fundi wangu kaniambia nimebadili plug nimebadili petrol filter lkn mis bado imo tena ya ukweli.
Battle ya magari kama unavideo za battle kama hizi tupia hapa tuone who is a king of road,,wengi tunajiulizaga mfano range Rover na land cruiser ipi bora? Sasa huu uzi ni special kwa kushindanisha...
mambo vp wadau,
naombeni ushauri wa kitaalamu na uzoefu wenu ktk hili,
nataka kununua gari dogo, yenye CC ndogo kwa matumizi ya nyumban,
ndugu yang anafanya kaz, bosi wake wa kike anagari aina...
Nianzie hivi, hebu tuzungumzie kuhusu fuel consumption ya hizi engine za J series especial hii 20A ambayo ina ujazo wa 1995Cc, Engine hii kwa kifupi tu ninavyojua drivetrain yake imedizainiwa...
Baada ya kuwepo na thread nyingi znazozungumzia usafiri wa ndege, leo nikataman kujua yafuatayo.....
1. Ni mechanism gani inatumika ndege kupaa na kutua, zaman mwalim wangu aliwahi niambia ili...
Habar wakuu,
Nataka ninunue pikipiki aina ya boxer bm150 kwa malengo ya biashara, Jana nilienda mjini k/koo kuulizia bei nikaambiwa ni Tsh 2,150,000 .So kabla sijanunua nimeona bora nije humu...
kama kichwa kinavyojieleza.... je wadau hiz gari zina matatizo gani ikiwa yapo maana nimeiona moja nikaipenda na nimetamani kuiagiza. as soon as nikiambiwa hazina tatizo. ni ya mwaka 2007 inasoma...
Hii gari naiona nzuri sana, kwanza ni gari kubwa sana, na ina muonekano mzuri. Lakini najiuliza kwanini sio gari maarufu, hasa hapa bongo.
Je zina sifa gani hizi gari? Kwanini watu...
Nataka kununua gari kwa njia ya mtandao kutoka kampuni moja iliyopo Japan. Je usalama wa manunuzi kwa njia ya mtandao upoje. Pia vipi gharama za kutoa gari bandarini. Gari ninayotaka kununua ni Noah.
Hello Ladies and Gentlemen,
Naombeni kuuliza kama Kuna mtu ambaye ameshawahi kuagiza gari kutoka kwenye hii website
magarijapan.com
Anijulishe please kabla sijatuma hela wakuu wangu please.
Thanks.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.