JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wakuu naomba kuelekezwa kwa fundi wa kukata (kuigawa nusu) shock ab. spacer, ambaye ni mtaalam mzuri, wa kuchonga vyuma,anikatie spacer yangu. Nna marekebisho nafanya katika system ya suspension...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Hellow wadau,bila kujali changamoto,kama kuna mwenye audi (hasa audi A4 sedan),na anauza please tuwasiliane.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Toa mrejesho hapa kuhusu hizi gari mbili, Gari gani unaikubali kati ya range rover na g wagon
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari za leo wana JF! Nina nia ya kununua gari dogo la kunisaidia kwenye mizunguko yangu ya maisha. Nafikiria kununua Mitusbishi Pajero iO (GDI), lakini kusema ukweli sifahamu uzuri na ubaya wa...
0 Reactions
28 Replies
14K Views
Wakuu habarini Wajuzi na wataalamu wa hizi gari naomba kujua tatizo la hii gari yangu yaweza huwa nini? Huwa inajiweka free yenyewe ikiwa kwenye mwendo, inakuwa kama inasleep na wakati huo ipo...
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Natafuta Oxygen sensor bank 1 na 2, Air mass sensor za pajero. model CBA - V93W
0 Reactions
0 Replies
632 Views
Habari zenu wanna Jf Mimi ni kijana mjasiliamali nafanya biashara zangu ndogo ndogo za mtaaa kwa mtaa, nimekuja kwenu nahitaji uelewa coz nahitaji kununua pikipiki aina ya Boxer 150 sasa naombeni...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Natafuta dimmer switch Toyota vitz DBA - KSP90
1 Reactions
1 Replies
908 Views
Natafuta dimmer switch Toyota vitz DBA - KSP90
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Ngunda transport. Inayotaarifa nzuri kwa uma hasa wafanyabiashara wanaosafirisha mizigo kutoka #DAR ES SALAAM Kwenda.... Igunga Nzega Kahama Tabora Shinyanga na Mwanza Kuwa wanakaribishwa. Hapo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hebu ona kama haya.. Au hizo bei ni huko kwao Japan?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Salaam kwenu nyote, Kwa wenyeji wa Shinyanga Manispaa naulizia wapi kuna driving school makini, ukiachilia mbali VETA, nitashukuru nikipata na price husika tafadhali!
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Hamjamboni WanaJF, Kwa wale wanomiliki au kuhusika katika biashara ya usafirishaji kwa magari, nawaletea habari njema! Kero kubwa la wizi wa mafuta sasa lina suluhu ya kisasa na ya kutumia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, naomba kuuliza kuna issue ina nitatiza. Nimepigwa faini barabarani na nimetoka kulipia bank, Je baada ya kulipia bank ndo basi au kuna hatua nyingine yakufuata ili wakufute...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu za leo. Naomba msaada wenu, je Vitz ya mwaka 2002 997cc inatumia lita ngapi za Transimsion Fluid.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari zenu, Naomba kufahamishwa storage rate (dollars per day) ya magari pale bandarini pamoja na ukokotoaji wake. Nazungumzia gari ya ukubwa wa mid-size SUV kama Toyota Prado. Natanguliza...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Samahani wakuu naombeni kujuzwa uhusiano kati ya hizi brand mbili
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Toyota Will Toyota Porte Toyota Sienta Tuwasiliane haraka nahitaji gari ndogo aina hizo na tayari nmeweka bajeti ya Tsh Mil 5. Kuna watu wanaweza kuwa na shida ya haraka na hiyo pesa. Nina gari...
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Mambo vipi wakuu... Nimeona nililete hili swali hapa coz mara nyingi limekuwa likinisumbua sana... Na hii inatokana na historia yangu ya huko nyuma mana gari ya kwanza kuimiliki ilkuwa ni spana...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Ninamaanisha Ipi inavumilia mikimiki hasa vijijini
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom