JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Msaaaada jaman ninagari limeanza kuwa na muuungurumo kama kombikombi, au subaruuu ya mashindano ya magari, nifanyaje!?!! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajamvi. Naomba kuuliza ni aina gani ya engine oil specific kwa gari hili, Namaanisha ndio engine oil yake recommended kwa gari hili ; Toyota Wish Ya 2006, CC ni 1790, Engine VVTI...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Ndugu wana Jf habari zenu!? Ndugu nahitaji ninunue pikipiki kwa matumizi binafisi hasa kwa kuendea kazini... Madhingira sio lafiki sana yaani Barabara sio nzuri na ni ya vumbi na vijilma vidogo...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Habari zenu wana jamvi...Mi napenda sana usalama barabarani....huwa naumia sana nikisikia ajali ambayo imetokana na uzembe au kutofuata sheria za barabarani....Haya ni matumizi ya taa za gari...
34 Reactions
56 Replies
33K Views
Wakuu , habari ya usiku huu, naomba ushauri kabla sijaenda kwa fundi , nimeipaki mahala nilipojaribu kuitoa gia liva kutoka P kwenda drive D gia liva ikawa inashuka tu mojakwa moja bila kubadili...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wadau nipo Dar natokea Mtwara; shida yangu ni spare za hillux d. Cabin petrol engine (3Y ) 1995 cc 2000. Nipo maeneo ya Gerezani/k.koo. Note: Nahitaji kuelekezwa duka au maduka yenye genuine spare...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Swalama wakuu, Naomba mwenye anajua garage nzuri ambapo wanatengeneza magari ya subaru anipe muongozo. Natanguliza Shukrani za dhati.
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Habari za muda huu wanajamvi,naomba kujuzwa kwa wale wenye uzoefu ni vituo/makampuni ya mafuta ambavyo wanauza mafuta yenye quality nzuri (bila uchakachuzi).,lengo ni kufanya injini iwe na maisha...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wanajamvi Ninaomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kupeleka mbele kilometres za gari(sedan cars). Nina fahamu watu wengi wanarudisha nyuma kilometres za Gari kwa sababu mbalimbali, hivyo mm...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Nissan yaunda magari mapya ya umeme Kampuni ya magari ya Nissan imezindua magari mapya ya umeme, wakati inakabiliana na ushindani unaozidi kukua wa magari ya umeme Aina hiyo mpya ya magari...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari kuna mtu ananisumbua sana kwamsg za matusi je kuna njia ya kumblock? Msg a kawaida Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Habari zenu wanajamii, Kuna gari ina tatizo ambalo nashindwa kulielewa/kulielezea sawa sawa. Ni kwamba radio ya gari inazima (inakosa umeme?) baada ya muda fulani. Nikichomoa terminals za betri...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Samahanini jamani naombeni kujua aina za wiring system kwenye magari Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Hello Gentleman and ladies, naombeni kuulizia .Napenda sana hizi gari aina ya Toyota Rush ,mwenye kujua uimara wake na kuiagiza mpaka ifike hapa Dar Port ina cost milion ngapi . naombeni msaada...
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari Wana jamiiforums, Nini maana ya injini used mswaki?
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Wadau ninahitaji grill za show ya bumper ya mbele kwa ajili ya vw touareg ya 2006 pamoja na ya taa ya fog. Zote ziwe za upande wa kulia.hii kwa ajili ya fog lighthii kwa ajili ya show. Napatikana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana jf,kuna maeneo ya mkoani nimepita mfano tabora nimeona nyumba nyingi zikiwa zimepigwa x ,nilimsikia raisi akisema ni mita 30 tu,lakini Hawa jamaa wanapima mita 70.,hii ipo kisheria?au...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Naombeni ushauri kati ya toyota IST na Toyota ALTEZZA ipi ni bora? Hasahasa kwenye uimara na matumizi ya mafuta. Nasubiri ushauri wenu.
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Hitaji langu naomba nijulishwe bei ya kifaa hicho Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Za jioni naomba kuuliza tatizo la gari inapofika kwenye mlima mshale wa spidi haupandi kuzidi namba 2 Pale ila ikifka tambalale unatembea kawaida Na matumizi ya mafuta yameongezeka kwa hizi siku...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom