Habari wanabodi !
Kama heading inavyosema kwa wazoefu naomba kujua jamaa wale wa magari ya IT huwa ni bei gani kutoka Dar mpaka Mbeya na huwa wanapatikana wapi kwa Dar.
Msaada wandugu, natafuta front excel complete ya Isuzu Forward 6HE-1 , Iwe na adjust kubwa (nene) sio ndogo na pipe zote ziwe nzuri, kwa mawasiliano nipigie 0755 008 779 tuongee biashara...asanteni
Wakuu natafuta premiot nahitaji ushauri
Na mtu aniambie tofauti kati ya premio 2004,2005 na 2006.
Naomba pia mtu aniambie upi mtandao mzuri naweza pata premio nyingi hasa dark blue gray au black
Habari za Leo wanajamvi Nina body ya Subaru forester. Engen imekufa nataka nifanye modification nifunge engen ya Toyota....... Ni engen gani ya Toyota nikifunga itakaa bila usumbufu wowote...
Wakuu nimetokea kuzipenda sana hizi gari kutokana na muonekano wake ni gari za kisasa zaidi, engine size below 1500, zipo zenye 4wd pia, ziko spacious lakini pia nimeambiwa ni comfortable sana...
Wapendwa rafiki yangu ameingia dilema. Anaomba ushauri juu ya uchaguzi wa gari ya kununua kati ya hizi option mbili alizonazo.
1. Anunue VITZ kutoka japani
a) year of make 2000
b)...
Mambo vp wadau mimi ni mmoja ninayoyakubali ayo magari kwa kiasi chake kwa kuanzia lyf bazeee, sasa nilikuwa naomba ushauri kuhusu ubanaji wa mafuta,spare,uimara,upatikanaji wa spare wake n.k...
Hivi lipo gari lenye nguvu ,zuri na chaguo la wajanja kama hii nissan patrol nismo. Isee kama una mihela yako nakusihi kaitupie kwenye hili gari utanishukuru milele
TANROADS, SUMATRA, TRAFFIC, ADHABU YA SPIDI HAIKUBALIKI KABISA.
Waraka wa BASHIR YAKUB
+255784482959.
Traffic 30,000, Sumatra 80,000, Tanroads 90,000 =200,000 Tshs. Ni adhabu ya kosa moja tu...
Hamjamboje wana jukwaa...
Samahani kama hii mada itakuwa imeshajadiliwa, mnaweza kuiunganisha iwapo tayari imeshajadiliwa...
Nauliza kuna uhusiano gani kati ya unywaji wa mafuta kwenye garu na...
Habarini wakuu, mimi nilimaliza driving school miaka ya nyuma kidogo na muda wote huo nilikuwa nimeenda nje kimasoml. Hatimaye nimerudi rasmi na ni muda muafaka wa kuwa na leseni. Bahati mbaya...
Wadau nataka kuongeza kagari kakupiga misele hapa mjini. Maana BIGHORN inanifilisi na wese lake na pia haiuziki. Nimeona MARK II - GANDE 1980 cc inavutia mwenye kuijua kwenye ulaji wa mafuta na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.