Huu ni mfano kwa yaliyotokea
Guys mnajua kuwa over speed kwa sasa ina fine 3 kwa pamoja. Kosa moja unalipia Kama ifuatavyo:
1. Traffic 30,000
2. Sumatra 80,000
3. Tan road 90,000
Jumla yake...
Habari zenu wadau.Mimi ni mtaala wa mambo ya Automotive interior. Nainstal soft tops,rooflining recovering,car carpets,Door panels, plastic repair,seat redying(vinyl and leather seats) and more...
Nataka niagize Noah new model, lakini kuna jamaa kaniambia eti zinatumia injini ya D-4 na injini hizi watu wanazilalamikia sana. Je ni kweli Noah New modal inatumia D-4?
Hizi old model nasikia ni...
Habari wana jamii forum naulizia juu ya Subaru legacy 2005 manual kama zinakuaga na shdah yeyote au mwenye wazo juu ya Subaru legacy kuna Ndugu yangu anaomba ushauri kabla ya kuagiza.
Sent using...
bandugu Naomba kujua naweza pata WAP hii lower control arm ya Subaru forester TA SG5 ya kushoto Kwan yangu imekatika kichuma cha kufungia link, MTU akiweka bei sio mbays, natanguliza shukrani
Wakuu naombeni ushauri kwa mliowahi tumia hii gari..nahitaji gari ninayoweza kusafiri umbali mrefu ie.mbeya-mwanza nikiwa na family jumla watu kama saba hivi..so nilikuwa nataka niagize hii gari...
Habari Wadau..
Moja kwa moja niende kwenye mada...Mimi nimepanga kununua gari either toka japan au apa apa bongo ila iwe used..Najua mnafahamu sifa moja ya gari pindi unaponunua ni mileage (km)...
Wandugu wapenzi ieleweke magari tunayoagiza used mengine yanakuwa hayana Mannuals za kutuelekeza mambo fulani fulani, kama la kwangu.Swali hilo hapo juu lenye (a) na (b) tusaidiane tafadhali.....
Habari za jioni wandugu!Napenda kujua kwa nini gari yangu aina ya 1st nikiendesha ikifika km 100 inagota hapohapo na mpaka niweke overdrive ndio inaongeza km
Sent using Jamii Forums mobile app
Habar wakuu,
Nataka ninunue pikipiki aina ya boxer bm150 kwa malengo ya biashara, Jana nilienda mjini k/koo kuulizia bei nikaambiwa ni Tsh 2,150,000 .So kabla sijanunua nimeona bora nije humu...
Wadau naomba kufahamishwa hasara/faida za kununua used car show room ukilinganisha na kuagiza toka Japan. Mfano kwa spacio new model cc 1500.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu.
Naomba msaada wa ushauri kwa gari yangu ndogo toyota runx.
Ilifunguliwa engine na kubadilishwa silinda gasket.
Baadae ikawasha taa ya check engine.
Nikapeleka kupima na mashine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.