JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Wadau ninakimeo hicho ambacho nilikiagiza mwenyewe toka Japan Mtumbani. Tatizo kuu toka siku ya kwanza ni fuel consuption yake yaani nadhani lita 1 kwa km 6. Nimekipeleka kwa watalaam wa mtaani...
0 Reactions
43 Replies
11K Views
Mm gari yangu inatatizo ya gear box Kwani inachelewa Sana ku change gear wakati na move sehem moja kwenda nyingine
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta fundi wa Nissan wingroad Sent from my GT-I9105P using JamiiForums mobile app
0 Reactions
1 Replies
942 Views
Mm gari yangu inatatizo ya gear box Kwani inachelewa Sana ku change gear wakati na move sehem moja kwenda nyingine
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salama wakuu naomba kuuliza anayefaham bei za indicator za Rav4 wahuni washafanya yao
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wenu kama kichwa cha habari kinavyosemaa.. Kwa hapa dar aapi nitapata fundi mzuri wa kueleweka na muaminifu wa AC maana nina gari ila inasumbua sanaa AC haifanyi kazi kuna...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari, Kwa wenyeji wa Dar wapi naweza kupata kwa uhakika gearbox ya Terios iliyo katika ufanisi mzuri kabisa (sina uhakika kama mpya kabisa zinapatikana). Nawasilisha
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hello Gentleman ,naombeni msaada wenu please. Nina Gari aina ya Nissan cube 3 kuna saa inafika mahali inavuma sana haitaki kuachia gia kabisa inaweza kuchukua kama dk tatu mpaka 7 ndio inaachia...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Asanteni wakuu Nimechukua legacy b4
3 Reactions
176 Replies
42K Views
ningependa kujua kuhusu kupatikana kwa spares za gari aina ya Honda fit umekaaje bongo kwani nimetokea kuipenda nisije nikanunua ikawa majanga pale spare parts sake zitakapo hitajika. asante
0 Reactions
4 Replies
4K Views
wakuu Naomba msaada wa hii Gari(Nissan grolia) juu ya mambo yafuatayo 1. upatikanaji wa spea(vipuli) 2. ulaji wa mafuta 3. uimara wa Gari wadau ushauri wenu ni muhimu sana kwangu. natanguliza shukran
0 Reactions
4 Replies
793 Views
Wakuu naomba Kama kuna sababu za kitaalamu nikijaza mafuta inatumia kidogo tofauti na nikiwa na mafuta chini ya tank kwa mizunguko Ileile.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wana jf, Kama kichwa cha habali kinavojieleza hapo juu,naomba msaada kwa anayejua vizuri hiyo gari uzuri na mapungufu au changamoto zake kwani nimeipenda nataka kuagiza japani kupitia...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Wakuu gari nawasha sasa hivi inawaka ila taa zote haziwak na pia inapiga sailensa,msaada wako tatzo nn gar ni brevis
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Wakuu, stop engine ni brake inayosaidia kupunguza mwendo katika gari kabla ya footbreak..ni common sana kwenye magari yote scania,volvo,benz,mitsubish nk. Nimechunguza sana gari hizi za kichina...
1 Reactions
18 Replies
9K Views
Wadau naombeni msaada Pajero jr kuongeza silence yenyewe.Nimejaribu kubadili ecceleration cable,Petrol filter,na vaccum sensor hakuna badiliko.Nikiiwasha silence inapanda baada ya muda inashuka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamvi wenzangu...nilikua naomva msaada wa kiufundi katika engine ya gari aina ya Nadia. Inachanganya sana oil na petrol yaani naweka lita 3 za engine oil ila baada ya wiki moja namwaga...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Nataka ninunue gari moja tajwa hapo mwezi wa ujao mungu akipenda. Naombeni ushauri kuhusu hizo gari ipi ninunue.. NB:sihitaji gari aina nyengine zaidi ya hizo tajwa hapo juu. WATAALAM NISAIDIENI...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Msaada, kuna mambo matatu naomba nisaidiwe; 1) Fuel Pump ikiharibika ni dalili gani unaweza kuziona kwenye gari? 2) Side mirrors zikigoma kujikunja yaan kuzifunga je inaweza kusababishwa na nn? 3)...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Back
Top Bottom