Habari wa Jf
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Naombeni kwa wenye uelewa wa hizi Suzuki Escudo toleo la tatu CC 2000 kuhusu uimara ,ulaji wa mafuta,upatikanaji wa spea na changamoto zake...
Habarini wadau.
Kijana mwenzenu nimezichanga za kutosha tu ili nami nimiliki gari. Katika kuangaza huku na huku nimeonelea bora niingie zangu zenji nikanunulie gari iliyotumika huko kwani nasikia...
Najiuliza kila siku kiwanda cha meli kikoje? Kiko karibu na bahari au vipi? Na kama sio? Meli huwa inapelekwaje baharini kuanza majukumu ndugu zangu, maana nimejiuliza muda mrefu nakosa majibu...
Princes Muro iliyokua inaondoka Dar kwenda Musoma yenye Reg No T536 CYC tarehe 13 June 2017 imetufanyia uhuni ilipofika shinyanga mnamo saa tano usiku na kuamuru abiria kuhamishiwa Mohamed Trans...
Habari wanajukwaa.
Kutokana na hali ya kiuchumi kuyumba wengi tunashindwa kununua gari za gharama. Husika moja kwa moja kwenye mada nahitaji ka luxury car ya bei ya kawaida.
Nimetumia week na...
Habari ya humu ...msaada kidogo kuna site nilikuwa napitia nikakuta suzuki kei afu CIF had Dar ni milion tatu na laki mbili ....
Na kuna mtu alituma link ya calculator ya TRA humu nikafungua...
Habari wakuu baada ya bajeti ya mwaka huu kutoa msamaha wa kodi kwa magari yanayodaiwa na kufuta Kodi ya mwaka unadhani magari bara barani yataongezeka?
Wanajamvi ninakapesa kangu ka madafu M 11 nahitaji ushauri kati ya gari hizo mbili ipi nzuri kwani itakuwa na safari mara mbili kwa mwaka kwenda mwanza je ipi kati ya hizo itanifaa?Ulaji wa...
Wadau, Habari zenu.
Naomba ushauri.Motor road licence yangu inaisha 13june 2017.
Nimesikiliza vizuri bajeti ya serikali na kuelewa kwamba kodi ya road licence haitolewi tena cash kama huko nyuma...
Wadau kama kuna fundi humu au mzoefu anijulishe jinsi ya kuchughulika na tatzo la check engine kuwaka mda wote.
Fundi alisema sensor tumebadili imekaa wiki tatizo limerudi
Gari ni Vits ya 1999
Nilipenda kufahamishwa kwa yeyote mwenye taarifa kamili juu ya hili swala.
Magari yalokua yakidaiwa Motor vehicle yataendelea kudaiwa ama ndo itakua yamesamehewa..
Hilo ndo swali langu wadau
Habari zenu waheshimiwa, Gari yangu ni TOYOTA SPRINTER SEDAN SE VINTAGE RIVIERE 2000 yenye engine Aina ya 5A-FE,
Tangu jana gari imekuwa nzito, Nikianyaga moto sipati perfomance kama...
Nimeona kuna baadhi ya magari ya toyota na makampuni mengine yakiwa na mfumo wa engine wa hybrid, naomba kueleweshwa yafuatayo:-
1. Nini maana ya hybrid-electric engine
2.Nini tofauti yake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.