habari wa jamvi nina mdogo wangu ana miaka 22 anahitaji kujifunza ufundi wa magari je ni wapi anaweza akaenda kujifunza hiyo fani ya ufundi.
elimu yake ni kidato cha nne yupo tayari kujifunza...
Naitwa Bryton, nina miaka 23 natafuta kazi ya kuwa tingo kwenye maroli ya mizigo au mafuta, yawe ya ndani au nje ya nchi niko tayali, kwa sababu naipenda hii kazi. Nitashukuru sana nikifanikisha...
Wakuu Salaam
Naomba kuuliza hivi kununua gari Toyota Noah kwenye yad za hapahapa tz au kuagiza toka nje kupitia makampuni husika yanafahamika makampuni nisiyataje ipi ni nafuu?? Yaani bei na...
Wakuu ninataka mwezi huu nipate kausafiri.. sasa nimeingia beforwad naona gari nzuri tu ila hata hii website ya kupatana naona Alteza afu bei nyepesi nyepesi. msaada wenu jamani
Unapovuka pale kivukoni na kigari chako, wasimamizi wa vivuko wanakataza magari kuvuka yakiwa na abiria ndani.
Hatua hii inaleta usumbufu sana kwa wahusika mara wanapofika hapo na usafiri na...
Wakuu. Kutokana na mlolongo wa foleni barabarani kuna wakati najikuta nasimama foleni kwa muda mrefu huku injini ya gari ikiunguruma.
Kutokana na hali hii kuna wakati nashawishika kuzima gari ili...
Eti haya mafuta ya petrol kuna yenye rangi kama mbili sikosei moja kama mekundu hivi mengine yana rangi kama ya mkojo, hivi hapo ni yapi mafuta bora na kwanini yawe na rangi mbili tofauti sio kama...
Wadau vipi hii gari je inauwezo wa kupiga masafa? (Mkoa mfano Dar iringa) vipi kuhusu spair zake? Inatumia injini aina ya 5A je sio sumbufu? Na inavuta mbele... speed mita inasoma 260. Mwenye...
Wadau nimezoea kuendesha gari zenye alama ya P-R-N-D-L-2 kwenye gear. Sasa majuzi nimenunua kigari cha Allteza baada ya mambo kubana sana. Pale kwenye D wameongeza D-3 naomba kujua hio 3 ni ya...
Habari wadau!
Naomba ushauri. Nina Toyota IST ya mwaka 2003 nimeiagiza kutoka Japan ina kama mwezi wa tano sasa lakini sijaridhika na ulaji wake wa mafuta.
Ni 1.3litre, mileage 140,000 km haina...
Wanajamii naombeni msaada wenu juu ya utofauti uliopo kati ya Kluger V na Kluger L. Kwani V na L. Ni nini hasa tofauti ya kiufundi iliopo.
Natangukiza shukurani kwa michango yenu yakinifu.
Habari zenu wakuu, kwa wale wazoefu wa kujua mchakato wa kuagiza magari kutoka Japan, ningeomba kusaidiwa gari kama hii BE FORWARD : 2011 TOYOTA Vanguard toyota Vanguard, ya mwaka 2011, cc 2360...
Mimi ni mpenzi wa music na movie kwa sana, kinachonishangaza ni kote huko ktk matumizi ya magari sijawahi ona kampuni ya toyota.. mara nyingi ni ferari, audi, bmw, range, bentley na kama mandhari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.