Ndugu zangu.Nimependezewa na hicho chombo Mahindra centuro .Je,ni Pikipiki nzuri kiubora na kunusa mafuta?
Mwenye kuijua Naomba atwambie maana nahitaji kununua nimezikuta mahali zikanivutia...
Habari ya asubuhi wakuu? Nilikuwa napitia mtandao wa Befoward na kuna bei za magari mbalimbali. Kuna gari Toyota Voxy data zake ziko hivi
Year 2004/3
Mileage 79305 km
Vehicle price $455
Save $204...
Kampuni ya TATA Motors imeamua kumbeep BMW X4 kwa kuja na kitu kipya kabisa, Inaitwa Range Rover Velar, ambao ipo katikati ya Range Rover Evoque na Discovery, ameamua kujipima nguvu na
BMW X4 na...
Habari ya wikiendi wana jukwaa,
Kwa mwenye utaalamu naomba anijuze gari yangu aina ya Suzuki carry muda mwingine ninapotaka kuondoka ikiwa kwenye 2 au 1 nikijaribu kukanyaga mafuta inakosa nguvu...
Ni suzuki vitara milango mi3
Make:Suzuki
model: vitara
model na:SE416_JLXPP
Body type:station wagon
chassis na:TAO1V117458
NUMBER of axels 2
Mwenye nayo au anaejua bei anijulishe
Naomba kuuliza kati ya hizo GARI mbili ipi
Ina nifaa kwa Mimi mmakonde ninaeishi mwanza kuwahi misiba Na sherehe za unyago kwa Wakati bila shida kule south kwa che mkapa/ bonde lagesi?
Nahitaji kununua gari na katika pitapita yangu mitandaoni katika websites za wauza magari nimekutana na gari hili SUZUKI SX4 kwa haraka limenivutia hasa uwezo wake wa kwa barabara mbovu...
Nilikuwa naangalia jinsi Land Rover Range Rover Velar inavyotengenezwa, nikajiuliza hivi baada ya miaka miwili mitatu Tanzania itakuwa na mafundi magari kweli? Sisi wakati tukikua wale vijana...
Wakuu natumai Mpo salama salimiin...gari yangu inavuta upande moja kwa mda mrefu sasa.. Nimepeleka wheel alignment wanakula hela wanasema iko sawa ila tatizo Mm naona bado lipo..tatizo inaweza kua...
jipatie ajira yako kwa haraka sana pata mkopo wa vifaa kama bodaboda,bajaji,au Suzuki carry(virukuu)kwa bei poa na riba ndogo sana!kwa haraka piga namba0756992661 kwa maelezo zaidi offce zetu zipo...
Wataal na wazoefu wa magari alteza manual na subaru manual ip iko vizuri kwa safari dar es salaam to mbeya maana mm ni mtu wa safari sana ushauli wenu mhuhim wakuu
Habari.Naomba kujua umuhimu au hasara ya kukata spring kwenye curburetter ya Pikipiki ili throttle iwe laini.Maana nimenunua kapikipiki kamekatwa.Naomba Wenye ujuzi wa ufundi wa pikipiki mnijuze...
Habari wakuu.
Nina gari yangu ndogo ninapowasha inatoa mlio mbaya sana kama mashine za kusaga nafaka zile za zamani na inawaka kwa shida mpaka nikanyage mafuta huku nawasha.
Lkn ikiwaka baada ya...
Kati ya
1 Nissan hard body
2 Ford ranger
3 toyota
4 voxwagen amarock
Sasa mimi napendelea hard body na wengi wameniambia kama nataka ya kudumu na ngumu nichukue hard body na moto wake sio...
Habari natumaini wote wazima wana JF. Nilikuwa nataka nipate ushauri kwanza kabla sijafanya Nina gari ambayo body lake limechoka la rangi nyekundu sasa nimepata la rangi ya nyeusi nataka kuvalisha...
habari za saizi wakuu
mimi ni kijana wa miaka kumi na nane naomba msaada wa kufundishwa umeme wa magari nipo mkoani iringa atakae weza kunifundisha bure sawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.