Katika tafta tafta ya gari dogo zuri na katika mitandao ya magari Japan, nimekutana na gari dogo, zuri na nikalipenda linatengenezwa na Mitusubish, linaitwa Mirage.
Mitusubish mirage, ina cc 990...
Tumechoka na kelele za gari zenu. Mmefunga mufflers kubwa basi shida tupu hapa mtaani.
Kwanza tradtionally Alteeza siyo perfect car for street racing. Vialteeza vyenyewe vimechoka na vinaacha...
Wanajamvi habari zenu
Naomba kuuliza maswali machache kuhusu maahine za boti kwa bei zake
-Uwezo wake
-Upatikanaji wakee
-Upya na used kwa bei zake zotee
Naomba kuwasilishaa shukraani
halo guys,mimi ni mgeni humu JF nimenunua toyota raum from Japan ambayo ODOMETER inasoma 150000km.swali langu ni kilometer hizo haziwez kuniathiri katika matumizi ya gari langu hilo? je nunaweza...
Habari wanajamvii hili nilikuwa nataka ninunue altezza 4ward engine 4 cylinder nilikuwa naitaji kujua ulaji wake wa mafuta ukoje kwa 1 Lita ni km ngapi
Habari! naomba wajuzi wa gari hizi mbili wanijuze ipi ni gari imara inayoweza ikadumu muda mrefu, isiyo na gharama kwenye matengenezo, inayoweza kwenda umbali mrefu na kupita hata rough road...
Habari JF,
Nimejikuta nawaza kuhusu ni aina gani ya matairi imara kwa ardhi yetu na ambayo yanaweka muonekano wa gari kuwa zuri. Mfano mimi gari yangu nilikuwa natumia KUMHO, hazijawahi kunipatia...
Wakuu,
Nini sababu ya gari yangu inatumia mafuta. Nimeangalia mfumo wa engine yake haitimii curburator, ni direct injection.
Aina: Hillux double cabin
Fuel: petrol engine
Cc: 1998 (approx 2000cc)...
Wakuu naona designers wa toyota wanafeli kwny baadhi ya new model zao sura zake yani bodi mbaya kuliko model za nyuma..
Mfano Mark x, landcruiser prado, passo naona mbaya kuliko za nyuma..
Maoni...
Nampelekea fundi Kigari changu kikiwa kusafii ila baada ya yeye kumaliza kutengeneza kitu chochote unakuta imejaa gress kila eneo mpka kwenye Viti,kwahiyo naingia tena ghalama yaisafisha.
Lakini...
Naomba msaada wenu, Noah yangu inagonga sana nyuma kama vile bush au Shockup zimekwisha lakini nimepeleka kwa mafundi watatu na wamesema gari haina tatizo na bush wala shockup na wamekazakaza...
Wasalaam!
Nimekuwa nikipokea email nyingi kuhusu hii kitu "car from Japan" nikawa napata mashaka kuitafuta hii website.
Leo nimesema ngoja niangalie huenda nikajipatia "free car"!
Looh! "The site...
Soko la Pick-up lazidi kupamba moto baada ya VW kuja na Amarok, sasa Mercedes-Benz nao wameamua kujichanganya kwenye hilo soko na kuja na Model mpya kabisa ijulikanayo kama X-Class, hawa wote...
Habari wana JamiiForums!
Natamani kuagiza gari lakini kuna kitu sielewi. Naomba kufahamishwa maana ya neno CIF kwenye uagizaji wa magari mtandaoni. Mfano gari limeandikiwa Dar es salaam port...
Wakuu,
Msimu huu wa sikukuu nimeona baadhi ya madereva wakilalamika sana kuhusu kulipa fine barabarani kwa kuzidisha mwendo.
Kufuata sheria za barabarani ni jambo la kwanza, ila kuna matrafic...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Nahitaji kwenda kufanyia service kagari kangu.Sasa mara ya kwanza kufanya SERVICE mtu alienifanyia SERVICE aliniwekea OIL ya 7000km.Tatizo kwa sasa hayupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.