Hbr wadau,
Naamini wako wadau wenye abc za haya mambo hapa, Kuna pikipiki moja za kichina naona ndo zimeingia zinaitwa SANIL nmeipenda sana nilitamani kujua bei zake, pili gharama za spea, tatu...
Haihitaji rocket science kupata kuelewa kuwa gari za kileo toka Toyota ni mbaya kimuonekano wa nje kulinganisha na matoleo ya miaka ya nyuma, roughly 2006 kurudi nyuma.
Mwanzo tulizoea kuona gari...
Jamani naomba wataalamu wa magari mnijuze ubora wa verossa yenye six cylinder 1980cc,ulaji wa mafuta,uimara,na bei yake na ushauri kama nataka kuinunua je itanifaa kwa ulaji wa mafuta maana...
Habari wanajamii forum nilikuwa nataka nianze kufanya biashar ya kuuza lubricant na vifaa vidogo dogo vya Magari na piki piki ila sina uzoefu na biashara hii.. Nilikuwa naomba msaada wakujua...
Habari za muda huu wana-JF.
Nimekaa nikakumbuka baadhi ya matatizo ambayo madereva huwa tunakutananayo barabarani tukiwa tunatumia vyombo vyetu vya usafiri.
Itakuwa vyema endapo kila mdau atatoa...
Salaam wakuu.
Naomba mwenye kufahamu kuhusu matumizi gari yenye plate number za kigeni (SADC) au nchi jirani kama Kenya nchini. Naomba ufafanuzi wa haya maswali au moja wapo kwa anayejua...
Kwa wenye kuzitumia au kuzijua,naomba kuelimishwa je zinatofauti gani na zile zilizoandikwa Vx 4wd?je bei zao ni sawa?utumiaji wa mafuta(fuel consumption)ukoje?
Makampuni mengi yanazidi kuwekeza katika teknolojia za magari rafiki wa mazingira. Toyota inazidi kuwekeza pia na inategemea moja ya gari zuri na la kisasa zaidi kutoka kwao la Toyota Prius PHV...
Wakuu naombeni ushauri kati ya gari hizi nataka kagari cha kwendea kanisani kipi ni imara na ina nafasi ndani.RAUM new model,vitz old model na swift 1.3
Sent from my itel it1507 using JamiiForums...
Range Rover imekuwa chaguo la kwanza kwa muda mrefu kwa matajiri na watu maarufu duniani...
Hii ni kwa sababu ina sifa moja ambayo ni ngumu kuipata kwenye gari nyingine... "Go anywhere and do...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.