wa kuu naamini humu kuna mafundi nawatu wanaojihusisha na magari sana kama sio kutengeneza kutumia au kuuza.shida yangu ni wiring diagram ya pin za control box.gari yenyewe ina engine ya 1MZ FE na...
Wadau naomba mnijuze kuhusu hili gar nataka kujua ulaji wa mafuta pi vp katk nchi yetu inaweza kuhimili na kuhusu vifaa bila kusahau kodi bandarini gari ni ya mwaka 2007.
Ahsanteni
Nimejitahidi kupata maelekezo ya hizi aina mbili za bajaji
re 4 205 wanaisifia wengi ni ngumu na imara lakini shida ipo kwenye engine kuchangannyika na oil ni haraka
kuliko Tvs king
na kwa...
Wadau,Pajero jr (auto),huwa inachelewa kubadili gear kutoka namba moja kelekea mbili.Inabidi kuingurumisha sana ndio ibadili.
Nini suluhu ya tatizo hilo?
Gari langu PRADO II steering imekuwa ngumu sana kukata kona, fundi amekukuruka akashindikana na kunifahamisha kifaa kiitwacho steering power kimefikia tamati ya kazi yake kinahitajika...
Wakuu naulizia gereji nzuri kwa ajili ya kuangalia vitu kama bush kwenye matairi, suspensions, ball joints, CV Joints, boots, shock absorbers, yaani kwa ujumla ile system yote ya chini...
Habari zenu members,
Mimi natumia Toyota Passo,ila hivi karibuni nimegundua ninapobadilisha gia kabla haijanipeleka kwnye gia ninayoitaka mf.kutoka kwenye P arking kwenda kwenye Reverse/na...
Ndugu wana JF nina gari yangu aina ya mistubishi Pajero Montero ya Mwaka 2002nataka nibadilishe engine toka engine ya cc 2900 niweke ya cc 1900 je nifanyenye wataaalamu wangu
Kama wewe ni mmiliki wa Nissan Navara modeli ya (2003-2008) kuwa mwangalifu nayo sana, watumiaji wa gari hiyo huko Ulaya wanasema ina matatizo ya kukatika katikati (pichani chini)!
Hivyo kama wewe...
Habari ndg zangu!
Nina gari aina Ford Escort model ya 2000, shida kubwa ni fuel nozzle! Nmeagiza ziletwe ila niliyemwagiza kila siku ananipiga tu tarehe mara mwezi ujao mara wiki ijayo... Na sasa...
WAKUU KUNA GARI ALTEZA BUMPER LAKE LA MBELE LIMEHARIBIKA LIMEBONDEKA KWA YEYOTE ANAYEJUA BEI YA ILO BUMPER AU ANAJUA JINSI UPATIKANAJI WAKE KWA WEPESI ZAIDI NAOMBA UWEKE CONTACT YAKO TUWAZIRIANE...
Jamana nataka kununua pikipiki bora na himilivu kwa mzaingira ya vijijini ili inasidie kubebe mizigo kama gunia la mahindi ,udaga nk. Haichakai haraka lakini inatumia mafutaa kidogo.Asante
Wakuu poleni namajukumu yote
Jamani kwa mwenye uzoefu na magari naomba ushauri kuhusu MAK X ubora wake namapungufu yake na kama ina 2500km je lita moja inatembea km ngapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.