Wakuu salama za sikukuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nimetoka zangu gereji naingia tu. Main road hapa maeneo ya mianzini. Nikasimamishwa na traffic. Kaanza na mambo yambo...
Habari JF,
Naomba kujua ni kweli kwamba haiwezekani kufanya Engine overhauling ya Suzuki Carry? Kama tunaweza kufanya Engine Overhauling ya Magari mengine kwanini iwe vigumu kufanya Engine...
Niaje Wakuu
Hizi Gari kwakwel nazipenda Vibaya sana sasa nataka kujua ipi Bora kati hizi nikilenga kwenye sector nyet kama Fuel Consuption Gharama za Vipuri na Ugumu wa Gari
Nawasilisha.
naomba msada wenu wadau nataka ninunue toyota funcargo,sijawahi kuitumia sijui lolote kuhusu uzuri na ubaya wake.
nimelipenda kwa kuwa lina Engen capacity ndogo na linafaa kwa familia,pia...
Habari wadau,
Katika pita pita zangu mtandaoni nikakutana na hili nkaona sio mbaya kuja kushare nanyi. Kwa hakika mchina sio mtu mzuri, sikujua kama angeweza kufanya kitendo hiki cha kuiabisha...
Katika mizunguko yangu hapa mjini (Dar) sijawahi kuhabatika kumuona mwanamke au msichana akiendesha gari akiwa ame relax yaani akiwa kaegemea siti yake (exaggeration[emoji2] ) ...mara nyingi huwa...
Habari zenu wana jamvi mimi ninauhitaji wa boda boda ambayo ni used kwa ajili ya mishe mishe zangu, kama uko dodoma na unaiuza au una jamaa anayeiuza boda boda tafadhali ni PM au weka...
Wadau vipi,
Je? Naruhusiwa kufanyia lamination kadi ya umiliki wa chombo cha moto?
Pia Kuna kadi naziona (siyo original) zimesainiwa sijui na trafiki (sina hakika) kama certified copy, Je...
Hii ni Toyota murano ina $3,800 hvi.....
Ref No
BF586219
Chassis #
PNZ50-100954
Model Code
CBA-PNZ50
Version / Class
350XV FOUR
Engine Code
VQ35
Mileage
99,223km
Engine Size
3,490cc...
Gari ni Toyota Allion ya mwaka wa 2007. Inahitaji kugeuzwa steering kutoka kuliya ihamiye kushoto.
Garage gani hapa Dar inaweza fanya hiyo kazi.
Asante.
Nijuzeni wataalamu na wazoefu wa magari. Hvi kuna tofauti kubwa sna kati ya mtu anaendesha gari mfano premio yenye cc1500 na 1800 kwenye ulaji wa mafuta?. Mfano tukiweka mafuta liter 50 kila...
Jamani mimi najiuliza madereva wa subaru(wengi wao) wana matatizo gani? Nasema wana matatizo kwa sababu wana fujo zisizo na msingi barabarani. Unakuta mtu na subaru yake anapita barabara ndogo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.