Nimepata Noah hapa ila inaingia ukungu mweupe unaonilazimu Mimi kutumia full light wakati wa usiku ili niweze kuona vizuri.
Kuna mahali nilienda Lumumba wakazisafisha zikawa poa lakini baada ya...
Nauliza na kuomba ushauri
Gari aina ya Nisaan premere inakuwa na usumbufu upi
in terms of oil consumption na ubora wake kwa ujumla
Je Vockswagen POLO ikoje kwa matumizi ya hapa kwetu misele ya...
Ndg,Members wa JF Garage.
Nilipata usumbufu usiotarajiwa Mjini Moshi,kutokana na gari langu kuwa na Fog lights na kulazimishiwa kulipa fine kana kwamba ni spot light.
Naomba wataalamu humu...
haya magar ya siku hizi pasua kichwa sana , nikikumbuka mikangafu yetu ya zamani haiendi bila kutoa handbrake halafu siku hizi gar ukiweka D tu inateleza nashangaa sana , nije kwenye swali sasa ...
1. Kama ulinunua/utanunua gari ikiwa haina ngao usithubutu kuiwekea kwasababu *ngao huwekwa kwenye magari ambayo safari zake au matumiz yake mara nyingi sio ya mjini kwenye pilika pilika za watu...
Wadau Kwema??,
Nilikua nawaza kuongeza gari ndogo home, Shemeji yenu atalitumia pia hata mimi inaweza kunisaidia pale hela ya wese ikigoma kupatikana kwenye gari ya sasa. Sasa katika kuzunguka...
Habari zenu wakuu, napenda kuwajulisha kwamba kama kuna mtu au kampuni inasumbuka kupata filter yeyote ile kwa ajili ya gari, generator, compressor, roller, excavator, crane, motor grader au...
Kama mwezi hivi au wiki 3, nikiweka gear ya reverse inachelewa kutembea (tofauti na nikiweka D-Drive), nikiongeza mafuta inaondoka kwa kushituka kwa nguvu. Nilipeleka kwa fundi wa 1 akasema...
Habari zenu wana Jamii wenzangu, i hope mko poa....
Kuna hili jambo huwa linanishangaza sana hasa katika hiz daladala zetu hapa Dar es salaam...utakuta Traffic Police anamsimamisha dereva wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.