Habari zenu wana Jf wa jukwaa hili ,
Awali ya yote ningependa kupongeza juhudi na jitihada za mwasisi wa Jf pamoja na uongozi kwa ujumla kwa kutuweka pamoja kwa mambo yenye tija kwetu sote...
Habari za asubuhi wakuu, nimeangalia taa za mbele za gari nyingi hususani toyota naona nyingi zinaukungu, nishawahi kwenda gereji moja wakaziosha ila ndani ya miezi 3 naona zinarudia ile hali.
Na...
Habari!!
Kuna machine nahitaji nitengeneze locally, hivyo basi naomba kwa ambaye mwenye karakana ya kuchomelea ya kisasa (maana machine yenyewe inahitaji vifaa vya kisasa) au kama una mfahamu...
Ninaomba kufahamu haya yafuata2001
1.Gari Toyota Prado engine 1kz 2001.
Ukiendesha km140 p/h inapandisha temperature ila ukizima aircon tempreture inashuka ila ukikimbia zaidi ya km 140 p/h...
Sina uzoefu sana na Magari hasa ya kisasa.
Ni hivi Jilani yangu anataka kuagiza gari Japani, sasa kulingana na tulivo zoeana amekuja hapa kuniomba ushauri. Ana kiasi cha TZS 8.5 hadi 10 M...
Habari wanajamiiforums!
Naomba ushauri nina gari aina ya Toyota Belta ambayo ina engine ya 2NZ-FE na ina CC 1297. Gari hii nimetembelea kilometa za kutosha na sasa naona imechoka sana ila bodi...
Kuna taa huwa inawaka kwenye raum new model inakuwa nyekundu ni triangle katikati ina alama ya mshangao. Watu wengi wamekuwa wanapigwa hela kwa mafundi huku wengine wakisema kuwa wana wapimia na...
Nina shida ndogo, nataka kupurchase gari, kati ya Range rover Discovery 4 ama Mercedes Benz E Class ya 2015, engine yake ni 4000cc.
Nimebajeti kutumia si zaidi ya laki moja kwa siku kwa ajili ya...
Husika na kichwa cha habari, nataka niagize gari tajwa hapo juu, wazoefu naombeni maelekezo ya bei nilizocalculate hapo kupitia calculator ya TRA, JE hiyo tax ya TRA Waliyotoa hapo nikilipa hiyo...
wataalamu naomba kujua zaidi kuhusu gari aina ya carina si 1.8l
matatizo yake
garama za spare
uwezo wake
matumizi ya mafuta mjini na highway.
maelezo ya ziada...
Wakuu nimejaribu kufatilia mijadala mingi jukwaa hili kabla sijafanya maamuzi ya kununua gari, kwa bajeti yangu isiyozidi mil 13 nimetokea kuvutiwa na hizi gari 2, ipi ni chaguo zuri zaidi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.