Habari zenu wanajamvi na poleni kwa majukumu.
Ninaomba Uzoefu wenu juu ya hii gari aina ya BMW 3 Series 318i ya mwaka 2003.
Note:
Model code_ GH-AY 20
Engine Capacity _ 2000cc
Natanguliza...
Anayejua au kuuza sports rims anijuze. Gari yangu ni lexus gs300 (sedan au saloon). na kwa sasa imevaa rims za size 235/45/17. Lakin naona kama hazijai lile tundu la body. Anayejua size bora zaid...
Wakuu
Nina ndoto ya kumiliki gari yangu kabla ya tarehe 1 AUGUST haijalishi kama nitaagiza au kumvua mtu yote sawa Bajeti yangu ni Milioni 8. Naomba ushauri kwani nimevutiwa na Toyota IPSUM...
Wana jf naomba kujua watalam wakiwa wanaeleza ulaj wa mafuta kweny high way yanakuw kidgo na automatically high way speed huw kubwa 80 to 100, sasa naulza km ni town trip na unatumia speed ya 40...
There are 54 countries in Africa and more than 10% of the countries manufacture cars though some of them still import engine parts and assemble them in their plants.
MOROCCO - LARAKI
Laraki, a...
1. Kujifunza na kupata leseni inayostahili kwa kwa gari husika.
2. Kufunga mkanda wa usalama pamoja na abiria wako
3. Kuzingatia udereva kwa kujihami na mpanda pikipiki kuvaa kofia ngumu (hemet)...
Habari ndugu ktk Jf.
Nna leseni ya udereva daraja "D" yenye muda wa mwaka na nusu.
Je, kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi naweza kuongeza daraja lingine baada ya muda gani?
Je, naweza...
Nina gari aina ya Toyota dyna ton 3,tatizo lake nikwamba nikiwasha tu ,ninapokanyaga mafuta maajia yanapulizwa kuja juu kwenye rejeta,nimebadili head gasket,nimesafisha rejeta lakin bado,na...
Katika ubora Wa watengenezaji Wa GARI za mercides Benz!
Waliwahi kuahidi katika moja ya matoleo yao kwamba; endapo kuna Mteja wao yeyote atayekutwa kapata ajali halafu GARI ikutwe Chali mataili...
Nina gari yangu Carina Si..pale chini kwenye gear liva kuna button ziko pale zimeandikwa PWR na MANU naomba mnisaidie kujua matumizi yake
Lakin pia kuna kabatan kapo kwenye gear liva ukikaminya...
Madereva wengi hawajui kutumia vizuri usukani.
Video hii inaonesha njia nzuri zaidi kutumia usukani, unapotaka kugeuza mwelekeo.
Si sheria, lakini inapendeza zaidi.
habarini wakuu, nataka kuuziwa gari toyota hiace ya 1kz engine ambayo nitaifanya daladala, je hii injini inafaa? make nimezoea kusikia 5L, 3L, nk. msaada wadau
Wakuu kwema?
Gari yangu ni toyota runx.
Betri yangu ni ya maji na imeanza kunisumbua yani haitunzi chaji.
Mimi ni mfanyakazi naenda kazini asbh napaki gari mpaka jioni narudi home na paki mpaka...
Heshima kwenu wakuu.
Nina gari yangu aina ya toyota runx.
Juzi kati iliingia kwenye shimo kwa mbele na kuinama sana huku upande wa nyuma ukiwa juu.
Sasa baada ya kutolewa ikawa inatatizo hilo ka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.