wadau habari! mi nina pikipiki nilinunua ila kadi ndio sina namaanisha pikipiki used naweza vp kupata kadi au kutumia njia ipi kupata umiliki halali wa iyo pikipiki?
Toyota Rav4
Ford
Kati ya hizi gari mbili ni ipi nzuri, kwa wenye uzoefu na haya magari hebu nisaidieni maana soon nahitaji mzigo mmoja kati ya hiyo miwili!
Halafu je niagize moja kwa moja kutoka...
habari wanajamii mi ni kijana wa kiume natafuta garage ya kutengeneza magari ili nijifunze nataka garage ambayo inatengeneza magari ya aina zote yaani ya diesel na petrol garage iwe arusha anaejua...
Habari wadau,naomba kuelezwa kuna tatizo katika gari Rav 4 old model automatic.Kama uko unaendesha kisha ukibadilisha gear kutoka D kwenda Reverse au R kwenda D kuna mlio kama kishindo unasikika...
Naomba msaada kwa waliowahi kuagiza magari kupitia kampuni ya car trade view,kuhusu usahihi wa taarifa za magari hayo.usalama fedha. hii kampuni ina tawi Tanzania.asanteni
Wadau wa njia zote zipitazo maeneo yenye msongamano wa watu imekuwa kero isiyositahimilika hasa msimu huu wa sikukuu. Nasema ni kero kwa sababu vijijini hatuna traffiki wa kudhibiti mwenendo wa...
Matumizi sahihi ya taa za nyuma za gari ni mojawapo ya misingi mizuri ya kulinda usalama barabarani
Kuna aina sita za taa zilizopo nyuma ya gari.
1..taa nyekundu za parking ambazo hutumika...
Wadau naomben msaada kwa anaefahamu namba za kupiga ili kufahamu kias cha pesa ninachodaiwa na TRA kwa njia ya cm nina pikipik. Nahitaji kubadili plate number. Asanten.
Habarini jamani. kwanza nishukuru uwepo wa jukwaa hili.
naombeni msaada juu ya ubora wa gari aina ya NOAH VOX.
napenda kujua ukimiliki gari kama hili unapaswa kulileaje, ni nini unapaswa...
Wadau nataka kununua hizi tairi nifunge kwenye gari yangu. Si mtu wa kusafiri sana. Kwa anaejua uzuri na ubaya wa hizi tairi anijulishe. Natanguliza shukrani.
Nina Nissan serena auto, leo nimegundua ninapoiwasha Gari feni ya kwenye (radiator) hazizunguki zote mbili, naomba kufahamu hii ni kawaida au kuna namna zinavyoweza kuanza kufanya kazi...
Ndg wanajf ambao ni mafundi, gari yangu toyota vitz jana ghafla tuu nikaona taa ya airbag ikiwaka kwa ku-flash. Je nn madhara yake kwenye gari? Na matengenezo yake ni nn? Gharama? Mwenye ufahamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.