Naomba ushauri ili mwenzenu nami niwe na usafiri, nimejikusanya sana kwa miaka saba sasa. Ila sina utalam wa magari.
Mwenye kujua anisaidie. Pamoja na utaalam nisaidieni pia nataka kujua.
1. Ulaji...
Wadau nimeshawishika kununua aina hii ya gari ila sina ufahamu wa kutosha juu ya upatikanaji wa spea, ulaji mafuta, uimara na balance ya gari hasa ikiwa kwenye mwendo kasi katika safari ndefu...
50 kph kwa maeneo ya miji na 80 kph kwa highway kwa magari makubwa. Nikiangalia dunia ya leo na maendeleo ya teknolojia hasa upande wa braking teknolojia tuna abs systems. Disc brakes etc. Etc...
Habari wakuu,
Ninapanga kununua gari mwisho wa mwezi huu, ila kuna vitu flan flan bado nahitaji kuvielewa kabla sijanunua hiyo gari.
Kwanza ni matumizi ya mafuta kwa siku,
Pili ni gharama za...
Kwa kweli hapa nakubaliana nao kabisa hata mimi hakuna version ya BMW ninayoikubali kama hii kumbe sikuwa peke yangu lkn mimi ukiniuliza the best car ever made nitasema ni Mercedes Benz W 124...
Rejea mada hapo juu. Naitaji Nozzle cut, But ,mudguad, car fender/ mudguad ya mbele na taa moja ya nyuma ya IST katika ubora na being nafuu! offer yangu ni Nozzle cut 1,300,000, mudguad mbele=...
Wakuu naomba mnisaidie mi siyo mtaalam sana wa kujua gharama za kuagiza magari na hivyo sizijui vizuri gharama za kununua gari japan had kulifikisha hapa bongo itacost shilingi ngapi, mfano jana...
TATIZO LA GARI KUTETEMA.
- Kuna aina mbili za mitetemeko kuna mtetemeko wa ndani ya gari na kuna mtetemeko wa ndani na nje.
Kwa leo nitaelezea mtetemeko wa ndani.
- Mtetemeko huu unalikumba...
habari
waungwana natafuta tyre za goodyear size 265/50r20 kwa maana ya kwamba nahitaji kununua. naomba kujua zinapatikana wapi na shiling ngapi natumaini nitapata msaada hapa
Kutana mafundi wa gari ya kisasa. Magari tunayo shugulika nayo ni Mercedes-Benz,
BMW, Ford,Volkswagen.
Na gari nyingine zote zinazotokea Europe kama unatatizo sehemu yoyote kwenye gari yako...
habari wana jf kuna mercedez banz hapa ni 221 gari ikiwa inatembea ina toa kamlio na ukivuta mafuta ndio kinazidi kutoa sauti kwenye steering power je tatizo nini naombeni msaada.
Hbr zenu,
Kuuliza si ujinga ndugu wana JF hasa ktk hili jukwaa letu la magari na vyombo vya usafiri..
Hivi hawa watu wanaobadili muungurumo wa gari zao mathalani IST unaweza kukikuta kinatoa...
wakuu habari za muda??
kuna jamaa yangu anataka kuniuzia NISSAN EXTRAIL naomba wenye uzoefu na hizi gari kuhusu ulaji wake wa mafuta vipuli vyake garama zake zikoje?? hivi hii gari ipo poa kwa...
Habari wanajamii.
Nina tatizo wandugu. Gari yangu imekuwa na tabia ya kutetemeka engine kiasi kwamba hadi stealing inatetemeka. Hii hutokea hasa nikiwa nimesimama. Gari ikitembea haitokei...
Nina Toyota 12R Hilux pickup 1ton. Ina bodi na chasis nzuri ila engine imeanza kuchoka. Nataka nibadili niweke petrol engine mpya ya kisasa. Pia iwe inatumia mafuta kidogo. Naombeni ushauri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.