Wadau naombeni ushauri wenu nahitaji kununua usafiri kwa ajili ya familia yangu nipo mbeya mjini na pia iweze kinisaidia Mara moja moja kwenda likizo kahama je IPI itanifaaa kwa ubora na matumizi...
Mwezi wa sita mwaka huu nilinunua gari aina ya Toyota Noah. Tangu wakati huo mpaka sasa haijaniletea tatizo lolote.
Hivi juzi asubuhi niliiwasha nikaiacha kwenye silence kisha nikaingia ndani...
Wadau naomba kujuzwa , nini tofauti ya shockups za magari?, nikiendesha noah townws nikipita kwenye barabara ya vumbi yenye rasta, ( pambs) gari inatikisika hadii inahama njia, wakati...
Wadau nisaidieni,gari yangu inatatizo la kuvujisha ATF kwenye kikombe kinachobeba star joint na drive shaft ya kulia,nimebadili kikombe mara mbili lkn huwa kinavuka na kupelekea ATF kuvuja na...
Engine used ya Pajero Jr "4A31" inahitajika.Naomba kufahamu bei na mahali inakopatikana.
Kwa faida ya wengi,unaweza kuweka namba zako kwenye wall hapa,ili wadau wengi wenye uhitaji huo nao waweze...
Habari za week end humu jukwaani! Nina gari yangu Toyota Corolla 110 tangu 2011. Sasa tangu j4 na inawasha taa ya ABS na ya Tyre pressure muda wote. Nimeenda kwa fundi, ikazima kwa muda ila kwa...
Habari wadau! Naomba kuuliza kama hzi gari Subaru Imprezza WRX za 2011 (sedan) zinapatikana ktk show rooms za hapa bongo, maana nimeitafuta beforward ya Japan sikuiona. So kama kunamtu anaweza...
Nauliza nani anazo valve za Mitsubishi kirikuu, maana nimekata cylinder head baada ya kusabishwa na kukatika timming belt, zimekutana valve zimepinda, nimetafuta nimechoka Dar Arusha kote...
Nataka ninunue mashine ya kusaga nafaka, naona inalipalipa, mwenye kujua bei tafadhari nijuze for both ya umeme na inayotumia mafuta. Na pia mwenye experience na hii bizinez tubadilishane mawazo...
Habari zenu wakuu? Jana katika pita pita zangu kuna Rafiki yangu aliniambia hivi ''Gari yangu ina gia tano lakini nashangaa nikiwa katika mwendo na natembelea namba tano huwa inadai gia wakati gia...
Gari yangu aina ya Toyota Dyna Ton 3 na nusu ,ilikuwa na engine ya 13B,ikapasua block piston zikatokea mbavuni,nime overhaul lakin inanizingua ,ila kuna sehemu nimepata engine ya 3B NEW ,je itafaa...
Katika gari ya automatic hizi namba na herufi katika gia zina msaada gani na kazi gani? Mfano 'R' inatumika kurudi nyuma, 'D' inatumika kama kwenda mbele. Je. hizo N, 2 na 1 zina kazi gani?
Wapendwa naomba kusaidiwa nina gari aina ya nissan vannete nahitaji kujua fuse hii ina kazi hii maana nilizoea kwenye noah ukifunua kile kifuniko cha fuse box kwa ndani kuna maelekezo ya kila fuse...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyosema,
Kuna Mzee mmoja jirani yetu kijijini yeye anamiliki tela la kuvutwa na punda,
Juzi juzi hapa hapa katika pilika pilika zake anatoka shambani bahati mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.