Wakuu habar zenu,Hivi hiyo course ya automobile ipoje kwenye suala zima la ajira na challenge zake ni zipi? Nimechaguliwa kusomea degree yake hapo NIT sasa nataka ufafanuzi zaidi kutoka...
Habari za jioni wana JF,
Kwa zingatia hali halisi ya mazingira nimejibanabana katika mihangaiko yangu ya muda mrefu nimepata fedha kiasi fulani cha kununua kagari ka kutembelea ili kanisaidie...
Wakuu! Nahitaji kununua IST NEW MODEL, Kwa matumizi ya kwenda Na kurudi ofisini lakin pia kumsaidia mke wangu kwenda clinic..nimezipenda sana mwonekano wake lakin sijui sana kuhusu,ulaji wake wa...
Naomba kuuliza kwa matumizi ya familia kati hizi gari ipi inafaaa zaidi ,Toyota Ist na Toyota corolla
Toyota corolla Axio na Toyota Ist ipi ni bora zaidi kwa matumizi ya familia?
Natanguliza salam nyote humu,kuna hii gari starlet carat nimeiona mahali jamaa kai pimp utasema bmw ilivyokaa hapo mbele,nimevutiwa sana nayo,mwenye uzoefu nazo vipi zinakuaga na tatizo lolote, je...
Za asubuh wanaJF...
Nilinunua Rav 4 imported from UK ikaja na funguo mbili zote nina remore control.
Funguo ya akiba sikuwah kuitumia. Kama wiki moja imepita ufunguo ukatumbukia kwenye maji...
Wakubwa shikamooni,
Mimi ni mjasiriamali, naombeni msaada kwa wale wataalamu wa magari.
Leo hii nimetoka kulipia bandarini (TPA) used 1996 hillux double cabin (petrol engine 2000cc) nimenda...
Habari zenu wakuu,
Ningeomba kuuliza gari yangu ni Carina ti pia ina engine ya 3s sasa toka juzi imeanza kusumbua kila nikiweka R inastuastua af ndo inarudi nyuma nikawa nimechukulia poa sasa leo...
FUEL GAUGE KUGANDA JUU TOYOTA COROLLA
Naomba msaada gari almost mpya 6000 km tu toka Japan nimeipokea , ikiwa na mafuta kidogo sana taa ya empty inawaka lakini gauge iko full tank...
Salama wadau,
Niande kwenye hoja moja kwa moja
Mwanzoni wakati huu mradi wa mabasi yaendayo kasi unaanza hali ila ilikuwa safi kabisa,
Kwa maana mabasi yalikuwa mengi hata ukienda kituoni haukai...
Maelezo siyaelewi!
Mara nyingi tunajaza upepo wa gari zetu kwenye compressor mtaani;
Kitu ambacho huwa kinanitatiza, upi huwa ni kipimo sahihi kwa gari dogo? Je ni lazima mbele patofautiane na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.