Nawasilisha,
Wazoefu wa hizi gari aina ya toyota Rav4 watujuze kwa faida ya wengi humu ndani...
Rav4 nyingi zinanikera sana kwa namna ya tairi zake za nyuma kukaa parale/mshazali/kutaga. Je ni...
Wana JF nataka kufahamu ,
Kwanini mabasi mengi ya masafa marefu mfano kutoka Dar kwenda Kampala,Harare,Lusaka,Kigari na Lubumbashi huwa ni Nissan UD badala ya Andare class? Mfano kampuni ya...
Wakuu, ninahitaji RAV4, kutoka Japan au hata katika Show rooms za hapa Tanzania.
Bajeti yangu ni Tsh 15m, je ninaweza kupata RAV4 ya aina yoyote ile? Iwe old au new model.
Pia naomba ushauri...
Nina duka langu la vipuri vya pikipiki Natafuta fundi mzoefu wa pikipiki mwenye wateja wake aje kufanya biashara kwenye eneo langu bure ila tu awe ananunua vipuri kwenye duka langu.. Nipo dar es...
Habari wadau,
Kuna jamaa yangu anamiliki Nissan Xtrail (2005) hapa mtaani,leo Asubuhi amewasha gari inawaka bila tatizo,mafuta yako ya kutosha (nusu tank),ila baada ya kuwasha akiweka reverse (R)...
Nikiwa katika muendelezo wa kudunduliza hela ya kununulia my ever dream ride BMW mini cooper, naombeni msaada wa more details kuhusu hii gari (wenye kufahamu) ikiwemo upatikanaji wa spare...
Wadau, hivi sasa kuna shindano linaendelea kwa jina la Free Car Giveaway. Hili ni shindano ambalo Mshindi mmoja atazawadiwa gari moja na washindi wengine 105 watazawadiwa kuponi. Baada ya kuona...
Wadau msaada wenu mimi ni mgeni na ilo gari sijui ulaji wa mafuta ukoje L/KM na stability yake barabarani pamoja na matatizo mengine. Msaada wadau.(Toyota Landcruser prado 3RZ 2690 1999).
Ningependa kujua pikpiki ikiwa speed 100 na gari ikawa speed 100 je hazitaachana zitaenda sawa? Nimeuliza hivyo kwa maana juzi kati nilikuwa nasafiri na gari land cruiser v8 petrol engen yenye...
Habari wana JF
Nataka kujua ni vitu gani vinatakiwa kuangaliwa kwenye gari wakati wa service ya gari nikimaanisha service ya kawaida (basic service) na ile service kubwa.
Natanguliza shukrani...
Habari zenu wadau nina gari yangu Toyota dayna ina engine 13B(diesel)huwa inatoa moshi wa blue asubuhi na ikitembea unakata ila ikisimama tena kipindi ipo idling unauona kwa mbali,nn tatzo wakuu
Naomba ushauri mi si mzoefu sana wa magari,ila nahitaji usafiri wa matumizi binafsi sasa kuna gari mbili huwa navutiwa nazo kati ya BMW X5 na HARRIER new model.....ipi na gari nzuri kwa matumizi...
Wapendwa wana JF,
Nimewahi kusikia kwamba kwa DSM kuna garage nzuri sana za wachina. Nasikia wapo makini katika kutengeneza au kurekebisha gari na endapo gari ikapata hitilafu then ukaipeleka...
Habari za muda wapendwa,
Karibuni katika uzi huu, kwa wale wazoefu wa vyombo vya moto, hebu tupeane uzoefu kuhusu kubadili yafuatayo kwenye gari zetu. Ni wakati gani au km ngapi unatakiwa kubadili...
Sasa naombeni ushauri wenu waelewa. Toyota harrier used abroad 1999 cc 2160. Je vipuri, ulaji wa mafuta na katika safari inafaa au Land cruser plado TX 1998 cc 2690 ya kununua kwa mtu. Imeweza...
Mabingwa niamulieni,
kuna gari mbili Noah na Harrier zote nimeahidiwa kuuziwa kila moja kwa 10,000,000/=
Nina familia ya watoto watatu na Mama yao
kwa ajili ya safari za mbali na za mjini km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.