Jamani Nitambua Humu Kuna Wataalamu Wa Magari Na Beia Zake,nina Milioni Kumi Nahitaji Gari Ya Kutembelea,je Ni Aina Gani Ya Gari Naweza Pata Kwa Hela Niliyonayo,pia Mafuta Inatumiaje,iwe Nzuri...
Habari zenu
Ninataka kununua gari, Toyota Rush, hii iliyopo ktk link hii:-
Toyota Rush 2007
Je, itanigharimu kiasi gani hadi ninaitia mkononi?
Msaada wenu tafadhali . Na pia ufafanuzi wa...
Nimesikia hiyo kwa baadhi ya wadau kuwa unaweza ukalipia road licence kwa instalment yaani lile deni likikamilika ndio unaenda TRA kuchukua stiker ya kubandika kwenye chombo, mwenye kuelewa kuhusu...
Ni manual ya mwaka 2005 na ilikuwa inatumiwa na mwanasiasa ambaye amemaliza muda wake hivyo kuamua kuuza kilicho chake na imetembea 300000km mpaka sasa iko barabarani.nitawawekeeni picha hapo...
Wakuu wasalaam,
Nahitaji gauge meter ya nissan hardbody niweze kuifiksi katika gari tajwa ,maana iliyopo ni kwamba mishale haisomi haifanyi kazi pia 'wiring' yake ipo corrupted, taa sign nazo...
Pita pita zangu kwenye web za magari meona brevis rangi nyeupe rim nzur low profile interior ni cream with leather seat bei usd 2600 tu..
Hebu tuambizane vitu vya kufanya na kuto kufanya ili...
Habari zenu wadau,
Kuna kitu nimekua nikikiona kimeandikwa mbele ya gari RS (hasa hizi gari ndogo). Na mda mwingine nimeona kwenye matangazo ya magari kwamba gari ina mfumo wa RS
Je ni kitu...
Nawasalimu wote humu ndani
Naomba msaada wa mawazo /ushauri lipi bora kuagiza gari moja kwa moja toka Japan kwa kutumia makampuni yanayofanya shughuli hizo au kwenda direct show room za hapa hapa...
Habari wakuu,
gari langu limeingia grease na oil kwenye seat, na sehemu nyingi za ndani naomba kwa anayejua car wash ambayo wanasafisha ndani vizur aniambie!
Salar
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.