JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)

Jukwaa maalum la mijadala kuhusu vyombo vya Usafiri (Magari, Pikipiki, Meli, Ndege n.k)
Habarini ndugu zangu wa Jamii forum.. Mm nahitaji kufanya biashara ya Suzuki carrier kwa huku kigamboni (Dsm) 1.Nahitaji kujua bei yake ikiwa mpya. 2.Na kwa siku mapato yake yako...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu naombeni ushauri kuhusu driving school nzuri hapa Mbeya?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Napenda kufaham tofauti ya injini hizi mbili
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Heshima kwenu wakuu. Nina m8 nahitaji gari zifuatazo. Premio new model no.C au D. Raum new model no.C au D. Vitz new model no C au D. 0753255844 whatssap. Ziwe na hali nzuri.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF wenzangu naombeni msaada kwa hili, Naona gari nyingi sana kwenye bonnet huwa kuna uwazi (tundu) kuangalia uelekeo wa gari na sijajua huwa unakazi ipi, mfano Subaru Forrester, Toyota...
1 Reactions
43 Replies
17K Views
Ndugu wana jamvi. Nawaomba msaada maelezo uzuri na ubaya wa gari hili hapa kwenye attachment, ninataka kulinunua, ila sina uzoefu mwingi kuhusu gari hili. Asanteni sana
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, naomba kujua undani wa nissan civilian bus, maana nihitaji kwa matumizi ya biashara either ya daladala au kukodi, nimekuwa nikisikia habari...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wataalam wa Magari, Jf. Naombeni ushauri wenu kuhusu convinient Family Car. Nataka gari ya familia ya watu 7,,, itakayokithi mahitaji yangu. Nimekuwa nikifuatilia magari haya, Gaia, Picnic na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu! Kwa wale wazoefu wa pikipiki, naombeni kujua ni aina gani ya pikipiki mpya naweza pata kwa bei kati ya mil 2 mpaka 2.5, na ni maeneo gani hapa Tz, Dar naweza pata nikimaanisha...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Nmeambiwa nianze na tairi iliyokaribu na dereva, ila cjapewa sababu! Naomba mwenye sababu anisaidie.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba kuuliza jaman ivi starlet sh ngap kutoka japan? Na vip ulaji wa mafuta?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vp kuhusu hii mashine...!
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Habari jamani naomba ufafanuzi wa hizo gari kwa ajili ya kwenda kazini na kurudi sehemu za mijini napia kwa safari za kutoka DAR mpaka mbeya hipi ni nzuri na na imara zaidi. KARIBUNI
2 Reactions
12 Replies
9K Views
Kila napoendesha gari kwa wastani wa kilometa 10 hadi 15 au engine inapopata moto taa ya engine hua inawaka, nikipaki gari na kuzima kwa muda engine ikapoa then taa ya engine hua inazima hadi gari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Gari gani ndogo ilio vizuri kwa safari ndefu, unywaji mdogo wa mafuta na hata uimara wake pia ?
0 Reactions
1 Replies
4K Views
kwa anayejua bei ya engine ya nissan TD27, anijuze Tafadhali,nahitaji ambayo haitumii turbo
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nataka kununua gari aina ya paso msaada kwa mwenye uzoefunayo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vibali viko sawa hadi 2017, ni namba C, usiulize AC maana utaganda, spare tyre mpya, pamoja na carrier yake juu, picha hapo chini zinajizungumza zaidi kuhusu Gari na hali yenyewe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jf' Naomba msaada kwa wenye uzoefu was magari ;Gari yangu ilikuwa inatokea puto mtu anaputo kwenye dashboard fund wangu aliniambia imekata mkanda wa hone;na ilikuwa kweli nimereplace...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom