Wakuu poleni na kazi!!
Nataka kwenda Morogoro kikazi ila niko na privet car ila nataka nipite shortcut ya Mbagala hii njia ya Ikwiriri!! sitaki kupita hii Morogoro road hadi Chalinze naona...
Wakuu mambo vepee!
Kama ambavyo mnajua, nimekuwa nikiendesha hii gari kwa muda wa miaka 2 na nusu. Nadhani huu ni muda muafaka wa kutoka kwenye Altezza.
Mnanishauri nichukue gari gani?
NB...
hii gari ni sh ngap mpya? na vp kuhusu consumption ya mafuta kampuni gani inazi import kwa bei rahisi na kwa muda sahh je ni sahh kununua za mtaani coz nataka anza nayo biashara
wakuu kwema,
naomba kujua performance na complications za suzuki escudo model hio hapo chini.Iwe ya four au six si vibaya nikajua sifa zake kwa zote na lowest sale price yake ninayoweza pata...
Wakuu, habari?
Nina imani humu kuna watalaamu mbalimbali wa masuala ya magari.. Nahitaji msaada nijifunze ufundi mbalimbali katika garage yoyote hapa Dar.
Elimu yangu hairuhusu kupitia au kwenda...
Bilashaka mnaendelea vizuri wanajamii forumn !! Niende kwenye mada!! Binafsi hua Nina ndoto ya kutengeneza ndege lakini hua sijaifanyia kazi,sasa baada ya yule kijana wa tunduma kutengeneza...
Habari.. Natafuta yoyote mwenye gari yake na yuko teyari kuikodisha kwa sherehe. Iwe gari yoyote nicheki... Costa eicher noah range bmw yoyote... Nitakutafutia wateja...
Habari wana jamvi!!! Mi ni mgeni humu ndani lakini nimeingia na swali, ningependa kujua utofauti gani uliopo kwenye izo model mbili tofauti za gari hasa mwenye uimara kwa aina yoyote ya gari...
Naomba ushauri,
Nataka ninunue mabasi ya kusafirishia abiria kati ya miji miwili ambayo ipo umbali wa kilomita 200. Wazo napata nininue kati ya TATA na Eicher zile kama za UDA.
Naomba kujua...
Hii Ipsum mara ya mwisho natazamani km ilikuwa inasoma kama 156,500 ivi,ajabu asubuhi ya leo inasoma 175 ila juu inaonyesha Triple A. Msaada wadau,kuna tatizo gani hapo
Habari \Forum,
Nina rafiki yangu mmoja huwa anatumia mafuta ya ndege(100LL) kwenye gari lake kwa kuchanganya 50/50 na petroli hii ya kawaida(unleaded) kwa muda sasa zaidi ya miaka mitatu,pia...
Habari zenu wadau wa JF garage,mbarikiwe sana.
Niko kwenye harakati za kuagiza guta kutoka Dar kulileta hapa Dodoma ili liweze kurahisisha usafiri na pia katika shughuli zangu ndogo ndogo za...
Habari ndugu zangu nina friend wangu anaomba msaada kuna procedure gani inahitajika ku-follow ukihitaji kusafirisha gari kutoka tanzania hadi botswana??
Habari wanajamvi...takribani miaka hii miwili iliyopita nimekuwa nikiona Defender zikipanda chat,zinakuwa pimped haswa japo ni za zamani lkn zinatoka ile mbaya!Huku Arusha waliokuwa na Masubaru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.