Habari za jioni wana JF.kichwa cha habari chahusika.Naomba kujua bei ya gari aina ya Toyota Harrier Lexus tangu kuagiza hadi kuingia barabarani au ikiwa yard hapahapa bongo.Natanguliza shukrani.
Wandungu mambo vp? Nina toyota oppa ya mwaka 2006 ila sasahv nahisi kama nguvu yake imepungua, ukiwa barabaran kwenye kimlima inapanda kwa taabu sana na pia speed haizidi 80, nini shida?
Wadau,
Za mchana?
Nina BMW yangu 318i nilimnunulia shemegi yenu sasa sijui kaikorofisha nini maana haitaki kuwaka. Ni either fuse/relay, pump kimeo haivuti mafuta, umeme, nozzle etc sijajua...
Habari wana JF, samahani kwa usumbufu.
Jamani naomba kujua hivi hizi namba zinakuwa zimeandikwa mbele ya scania humaanisha nini mana nasikia hata bei yake pia hio namba inahusika mfano nyingi...
RUNGWE TRADING CO LTD is an independently owned company operating as freight forwarder serving Tanzania and all neighbouring landlocked destinations. The company provides air sea freight...
Nimeagiza gari toka Japan na baada ya kuanza biashara nimepata changamoto ya matumizi ya mafuta. Gari ni Toyota hiace, Engine ni 2RZ na ni automatic. Gari inatumia lita moja ya mafuta ya petrol...
Nimekua natumia gari aina ya Pajero kwa Muda sasa na imejitokeza likapata matatizo ya Injini yake (4D56), nimejaribu kununua injini zimefika 3 mpaka sasa lakini zote zinasumbua baada ya miezi...
Je ni muhimu kwa gari inayokula oil baada ya muda Fulani kuwekewa STP,na je inasaidia kukata tatizo la kula oil kwa gari iliyofungwa ring mpya?msaada wenu wakuu
Iko hivi baada ya kufunga ring piston mpya,pamoja na piston gari ilikaa silence kwa muda wa saa moja,ndipo nilipogundua kuwa oil ina bleez kwenye intake manifold inapounga hors ya air cleaner. Je...
Wadau nimehamia dar kutokea Arusha, ningependa kuelekezwa garage nzuri special kwa germany car especially BMW hapa dar ambayo nitaweza kufanya service na matengenezo ya gari
Shukrani
Wakuu naomba mnielimishe kidogo hvi unapotaka agiza gari kutoka nje kutoka kwnye ile bei unayoiona online ni gharama gani nyingine unapaswa ziongeza mpaka ujue jumla ya pesa unayohitaji kamili...
Habari za sa hizi wakuu.
Ninaomba ufafanuzi wa matumizi sahihi ya Cruise Control. Ni gari mpya nimeagiza kutoka Europe. Nissan Pathfinder sport. Nimesoma manual na kujaribu kupitia forums...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.